FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Ndezi ni ile mipanya buku mikubwa ya porini au mashambani, Kingereza wanaitwa "cane rats"Ivi
Ndezi ni mnyama gani? Ikipatikana picha itapendeza, Nipo curious kumfahamu. Mimi nili dhania ndezi ni neno la kiswahili liki maanisha mtu mzubaifu/mshamba.