Mkigoma kununuwa nyama, watashusha bei wenyewe.Siku hizi kuna umoja wa kila sekta, pale Arusha kuna umoja wa wauza nyama, wanakubaliana kupanga bei wanavyotaka na ole wako uuse chini ya hiyo bei. Sasa hivi kila butcher Arusha kilo moja ni TZS 12,000/. Hakuna mamlaka au chombo cha kudhibiti huu upandishaji holela? Mlinzi wa mwananchi ni serikali, kwanini serikali isifanye utafiti ijui uhalisia wa soko, nyama ni kitoweo cha lazima sawa tu na mafuta. Tunaishauri serikali iunde mamlaka ya kudhibiti bei za nyama
PumbaKwako wewe unadhani bei gani ni sawa au unataka mwenye butcher mfugaji apate faida kiasi gani ?
Haya mambo kama Serikali inaona bei ni kubwa and it can do better basi ianzishe ranch ya taifa; haya mambo ya kupangiana bei sikubaliani nayo kabisa, ndio maana mimi ni muumini wa Social Market Economy... State UMMA unaweza kuwa na vitu vyake ila vyote kwenye Soko Huria, wakiona watu binafsi wanafanya cartel basi watakuwa na kitengo chao chenye kutoa bei rafiki....
Kwetu elf 8 kg1Siku hizi kuna umoja wa kila sekta, pale Arusha kuna umoja wa wauza nyama, wanakubaliana kupanga bei wanavyotaka na ole wako uuse chini ya hiyo bei. Sasa hivi kila butcher Arusha kilo moja ni TZS 12,000/. Hakuna mamlaka au chombo cha kudhibiti huu upandishaji holela? Mlinzi wa mwananchi ni serikali, kwanini serikali isifanye utafiti ijui uhalisia wa soko, nyama ni kitoweo cha lazima sawa tu na mafuta. Tunaishauri serikali iunde mamlaka ya kudhibiti bei za nyama
Nyama kuikosa ni mtihani kwa wapenda kula vizuriNyama sio lazima kama ulivyoainisha mkuu, nadhani wana Arusha wakikazana kula mchicha bei zitashuka tu.
Kula vizuri ni kama Janabi anavyoasa 🤣 sijamsikia akizungumzia nyamaNyama kuikosa ni mtihani kwa wapenda kula vizuri
Kuendesha MAVX na Maprado kwa kasi huko barabaraniSiku hizi kuna umoja wa kila sekta, pale Arusha kuna umoja wa wauza nyama, wanakubaliana kupanga bei wanavyotaka na ole wako uuse chini ya hiyo bei. Sasa hivi kila butcher Arusha kilo moja ni TZS 12,000/. Hakuna mamlaka au chombo cha kudhibiti huu upandishaji holela? Mlinzi wa mwananchi ni serikali, kwanini serikali isifanye utafiti ijui uhalisia wa soko, nyama ni kitoweo cha lazima sawa tu na mafuta. Tunaishauri serikali iunde mamlaka ya kudhibiti bei za nyama
Wewe kula kama yule mzee uone kama utabaki na nyama. Mzee amekauka sura haina nuru. Kula vizuri ni kula a balanced diet, vyakula vyote vina faida zake mwilini.Kula vizuri ni kama Janabi anavyoasa 🤣 sijamsikia akizungumzia nyama
Kanunue mbuzi, kuku, kondoo na bata ufuge, mbona solution rahisi tu. Huo ni uwekezaji wa mtu, halafu wewe uamke uanze kutamani nyama, na unajipangia na bei. Kula tembele, au dagaa wa nyama, au maharageSiku hizi kuna umoja wa kila sekta, pale Arusha kuna umoja wa wauza nyama, wanakubaliana kupanga bei wanavyotaka na ole wako uuse chini ya hiyo bei. Sasa hivi kila butcher Arusha kilo moja ni TZS 12,000/. Hakuna mamlaka au chombo cha kudhibiti huu upandishaji holela? Mlinzi wa mwananchi ni serikali, kwanini serikali isifanye utafiti ijui uhalisia wa soko, nyama ni kitoweo cha lazima sawa tu na mafuta. Tunaishauri serikali iunde mamlaka ya kudhibiti bei za nyama
Msile nyama zinatanua moyo😁😁😁 kuleni supu za mchicha kipande cha appleWewe kula kama yule mzee uone kama utabaki na nyama. Mzee amekauka sura haina nuru. Kula vizuri ni kula a balanced diet, vyakula vyote vina faida zake mwilini.