Hizi bei za nyama kupandishwa kiholela nani wa kuwasaidia Wananchi? Sasa hivi kilo TZS 12,000/ Bodi ya nyama kazi yake nini?

Nilifanya kazi karatu dc mwaka 2018 nyama kilo ilikuwa 12k tena ikifika saa 4 asubuhi nyama imeisha mabuchani sijui sa ivi bei imefikaje??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…