Hizi Harrier 3rd gen zilivyojazana hapa mjini utasema haziuzwi Mil 70+

Save 4M kwa miaka miwili unakuwa na 80M unanunua
 
Sio tu body, hii imetumua ata chasis nyingine kabisa wanashare nadhan na Rav 4

Pia kuna improvement kwenye engine, na sasa wanatumia engine ndogo cc 2000 na ina hybrid yenye 2500.

Sema nn, hii 4th gen ndio naona kama facelift tu ya 3rd gen
 
Million 70? Hizo ni bajaji 7 siyo ghali sana.
 

Sasa 10,370 X 2,620 = Tshs. 27,169,400. Ukichukua 27,169,400 + 27,235,025 = Tshs 54,404,425. Hiyo Mil 70 Unaipatia wapi?
 
Pambana mkuu,we ndio uliebaki peke yako hapo mjini hauna hiyo chombo...
 
Kma unanunulia Bongo - Ndio unaweza kupigwa. Kama unaagiza moja kwa moja Japan, Hakuna huo ujnga.
 
Kama unaearn 5m kwa mwezi kupata 30 ni rahisi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…