Hizi Harrier 3rd gen zilivyojazana hapa mjini utasema haziuzwi Mil 70+

Mkuu kwa barabarani mimi amani ya moyo huwa napata nikiwa mkoani. mkoani inabidi uwe na gari yoyote tu ila kwa dar unajihisi mnyonge kwa gari zetu za 15M hizi maana kuna watu wanaendesha michuma ni laana.
Sio mikoa yote mkuu, nenda moshi na arusha bado utaonekana unatembelea kiberiti tuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
hahhaah duuh! bila kuwasahau na wale wa plate number, kweli wabongo kupigwa wanajitakia
 
Kila la heri mkuu hiyo kwa kipato chako jipe muda zaidi au uza nyumba ununue gari πŸ˜‚
Unajua mkuu watu tunatofautiana sana, Mimi nataka nijifunze kuweka standard naamini ndani ya Miaka 2 au 3 ijayo hiyo gari ntaipata. Hichi kipindi naendelea kutumia gari ya ofisi na wese bure pamoja service bure, ilimradi sipandi BANCHIKICHA a.k.a Daladala kwenye mizunguko yangu basi naamini ntaipata tu.

Sema gari za ofisi zina masharti uhuru hamna ndio tatizo, unapanda gari isitoke nje ya mkoa labda kwa shughuri za kiofisi ndio shida ilipo.
 
Kwa utaratibu huo utafanikiwa kumiliki hiyo gari mkuu.
 
Saizi watu wana hela mzee mad.

Pongezi kwa mama.


Your browser is not able to play this audio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…