Hizi ndege za ATCL zimemkosea nini Lissu? Mbona anaziwazia mabaya tu?

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,

Wakili msomi wa kwenye majukwaa Bwn. Tundu Lisu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote,

Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.

Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.

Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.

Hataki kuona ndege zikiruka.

Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini?? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.

Tuna mshaka nae.

Pia Soma: Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
 
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,

Wakili msomi Bwn. Tundu Lissu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote.

Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.

Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.

Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.

Hataki kuona ndege zikiruka.

Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.

Tuna mshaka naye.

PIA SOMA
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
 
Itakua waligoma kumpeleka Nairobi wakati amepigwa risasi... ikabidi ikodiwe private jet impeleke. Ni mawazo yangu
 
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,

Wakili msomi wa kwenye majukwaa Bwn. Tundu Lisu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote,

Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.

Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.

Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.

Hataki kuona ndege zikiruka.

Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini?? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.

Tuna mshaka nae.
Kama kuna haki zake azikamate tu
 
Sababu hizo ni dhamana zinazotembea na zinatoa uhakika wa kupata haki baada ya kushinda kesi.
 
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,

Wakili msomi wa kwenye majukwaa Bwn. Tundu Lisu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote,

Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.

Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.

Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.

Hataki kuona ndege zikiruka.

Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini?? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.

Tuna mshaka nae.
We angepigwa risasi mama yako au Baba yako ungekuja na hizi hoja? wacha wataifishe hata zote kabisa
 
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,

Wakili msomi wa kwenye majukwaa Bwn. Tundu Lisu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote,

Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.

Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.

Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.

Hataki kuona ndege zikiruka.

Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini?? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.

Tuna mshaka nae.
Mbona unauliza majawabu!!
Kinyume ya hapo wamlipe haki zakwake bila chenga!
 
Bora ndege zikamatwe kuliko kukubali utekaji na UUWAJI wa watanzania uote mizizi.Mabeberu tuwaombee warushe satellite image za watekaji wa mzee kibao ili hangaya ashughulikiwe
Hatuongelei kupigwa risasi, tunaongelea uzalendo wake ndani nchi hii "kwanini anaziombea mabaya ndege hizo zimemkosea nini"
 
Zinakusaidiaje hizo ndege??
Zinamsaidia Lissu pia usafiri, huzipanda mara Kwa mara.

Wananchi maskini tusiumizwe Kwa ugomvi unaohusu wasiojulikana na TUNDU Lissu.

Ashughulike na waliomshambulia kijinai bila kutuhusisha wananchi tulionunua ndege hizo Kwa JASHO letu.

Na hapo ndipo Hasa Kuna watu hudhani kuwa Lissu anatumika na magharibi.
 
Back
Top Bottom