Mamilioni watu walichanga unaita vimichango?Pamoja na vimichango vyenu yeye kama Mbunge alistahili alipiwe na serikali ..... Ni stahili yake. Kwa nini hutaki asilipwe...!!?
Yeye public ilimchangia matibabu ina maana kama ni risiti za matibabu ni tayari malipo toka public yalishafanyika ndio ndio nikauliza kama tayari malipo yalishafanyika kupitia michango ya watu yeye anachohitaji ni refund ili awarudishie michango yao waliochangia matibabu au? Kuuliza sio ujinga.Sababu matibabu alishapata kupitia michango