Tuchukulie Lisu kawa Raisi kwa hiyo atakuwa akilipwa pesa za walipa kodi kulipwa mshahara na marupurupu na pia atakuwa anajichotea pesa zingine za walipa kodi kujilipa fidiaDawa ya deni ni kulipa. Kama ndege zitakamatwa na kushikiliwa (attachment) ni kwa ajili ya kuishinikiza serikali imlipe Lissu stahiki yake ndipo zirejeshwe. Sio kwa ajili ya kuzipiga mnada ili ipatitake fedha ya kulipa.
Hivyo huna haja ya kupinga. Unatakiwa kuishinikiza serikali ilipe deni. Kibaya zaidi serikali huchelewesha madeni kiasi cha kulipa viwango vikubwa vya riba na kusababishia taifa hasara zaidi. Hapo ndipo pa kujali sana thamani ya pesa za walipa kodi.
Lisu uraisi hafai hana huruma na wala uchungu na pesa za walipa kodi na mali zao ikiwemo ndege zao walizonunua kwa kodi zao