Hizi ndege za ATCL zimemkosea nini Lissu? Mbona anaziwazia mabaya tu?

Napinga Kwa nguvu zote Lissu au mtu yeyote kushanbuliwa.

Lakini hili la Nchi kushtakiwa, ndege zetu zikamatwe Ili Lissu alipwe fidia napingana nalo Kwa nguvu kubwa.

Suala hili liende kijinai Si kiuchumi!!
Dawa ya deni ni kulipa. Kama ndege zitakamatwa na kushikiliwa (attachment) ni kwa ajili ya kuishinikiza serikali imlipe Lissu stahiki yake ndipo zirejeshwe. Sio kwa ajili ya kuzipiga mnada ili ipatitake fedha ya kulipa.

Hivyo huna haja ya kupinga. Unatakiwa kuishinikiza serikali ilipe deni. Kibaya zaidi serikali huchelewesha madeni kiasi cha kulipa viwango vikubwa vya riba na kusababishia taifa hasara zaidi. Hapo ndipo pa kujali sana thamani ya pesa za walipa kodi.
 
Angeisaidia kwanza familia ya Mawazo wa CDM aliyeuwawa kupata HAKI yake kwanza kabla ya kujiangalia Yeye binafsi.
 
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,

Wakili msomi Bwn. Tundu Lissu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote.

Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.

Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.

Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.

Hataki kuona ndege zikiruka.

Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.

Tuna mshaka naye.

PIA SOMA
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Mbona Mwanambaya hazijawahi kufika, acha ziende tu.
 
Lissu ashughulike na waliomshambulia,

Aachane na ndege zilizotokana na JASHO na Kodi zetu.
Inawezekana kuwadai fidia ya madhara aliyopata kwa wahusika kwa majina yao? Maana kama alidhuriwa na Serikali itatumika Kodi kulipia fidia. Ndio maana inatakiwa wahusika wapatikane wawajibike.
 
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,

Wakili msomi Bwn. Tundu Lissu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote.

Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.

Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.

Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.

Hataki kuona ndege zikiruka.

Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.

Tuna mshaka naye.

PIA SOMA
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Yaani huyo mzungu awe na madai ya muda mrefu, lakini asubiri kupewa taarifa za Tundu Lisu, uza ubongo huo maana hakuna mzungu wa hivyo.
 
Inawezekana kuwadai fidia ya madhara aliyopata kwa wahusika kwa majina yao? Maana kama alidhuriwa na Serikali itatumika Kodi kulipia fidia. Ndio maana inatakiwa wahusika wapatikane wawajibike.
Watatajana wakati huo.
 
Mkuu,

Inasikitosha tu namna huyu msomi nguli anavyotaka kuona shirika la ndege la nchi anayotaka awe Rais likiteketea.
Kama hilo shirika ni sehemu ya dhuluma dhidi ya wananchi wasio na hatia acha life tu.
 
Inashangaza uzalendo wake unatokana na nini kama kila mara anachowaza ni kukamata tu ndege za ATCL ,

Hatujui tu akilini mwake anawaza nini hatari zaidi ya kukamata hizo ndege.

Hivi huwa anagombea Urais ili akafanye nini??
Akamalize dhuluma dhidi ya wananchi. Hataki kuwa rais wa ndege bali kuwa rais wa kusimamia haki.
 
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,

Wakili msomi Bwn. Tundu Lissu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote.

Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.

Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.

Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.

Hataki kuona ndege zikiruka.

Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.

Tuna mshaka naye.

PIA SOMA
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Mimi nilivyomsikiliza sikupata hiyo picha. Nilipata picha kwamba:
1. Kutokana na uamuzi wa kesi ya madai iliyofunguliwa na Bw Clifford, huko London, Uingereza, (ambako Mahakama ya Rufani, imesema kwamba iwe public kwa vile Ina masilahi kwa umma, majina ya nchi na wahusika ambayo yalikuwa coded, sasa yatakuwa decided),
2. Amepata mahali pa kuanzia kufunguka kesi ya madai kwenye mahakama za kimaifa akiishtaki Kampuni ya Tigo na serikali ya Tanzania.
3. Kwa vile serikali huwa haipendi kulipa fidia inapokuwa ikidaiwa, kama haitalipa, ndege za Tanzania huko zinakokwenda kwa safari zake zitakamatwa (of course siyo zote, probably mojawapo).
4. Kwa hiyo, context ya kutaja ndege za Tanzania ilikuwa katika kukataa kulipa fidia (ambayo anadai atashinda kesi pengine kufuatana na ushahidi alionao).
5. Hivyo, ndivyo nilivyoelewa, lakini sikuona kwamba hazitakii mema ndege za ATCL.
 
Waliomshambulia Lissu washtakiwe, wakamatwe na wafungwe na wafilisiwe Mali zao Ili kumlipa fidia.

Ndege zetu hazihusiki hata kidogo,

Ni sawa tu udhulimiwe na Abdul Kisha fidia ukamdai Mwajuma!!
Ziliwahi kukamatwa mara 2 baada ya kushindwa kesi kamataifa, tena mara ya kwanza akiwa hospitali je nani alitushtaki ? Kuna mashtaka yapo mahakama za.kimataifa na tulishindwa kesi nani alipeleka ?
 
Hazikuwa filed na watz kesi hizo,

Mzalendo hawezi ishtaki Nchi yake. Ashughulike na waliomshoot na uzuri amedai anawajua aliwaona.
 
Inawezekana kuwadai fidia ya madhara aliyopata kwa wahusika kwa majina yao? Maana kama alidhuriwa na Serikali itatumika Kodi kulipia fidia. Ndio maana inatakiwa wahusika wapatikane wawajibike.
Ndio inawezekana kudai Kwa Majina Yao,

Sababu Sheria na Katiba ya nchi yetu hairuhusu askari au mtumishi wa umma kumshambulia raia asiye na hatia, Bali kumfikisha court.

Utakumbuka makamanda wengi tu wamewahi kushtakiwa wao kama wao, wanapokiuka matakwa, pgo na Sheria za nchi.
 
Labda. Tuseme kawa mbinafsi zaidi, sio?
Ndio ni u inafsi huo,

Walioumizwa CHADEMA ni wengi,

Watanzania walioumizwa ni wengi,

Angefungua shauri akijumuisha wote waliotekwa na kuumizwa, hapo angeo ekana anapigania maslah ya Watanzania, Si binafsi .
 
Risasi 16 kwenye mwili wako, unaachaje kujiongelea na kujipigania. Bado umefukuzwa ubunge ukiwa kitandni, na mshahara umesimamishwa tangu day one unapigwa risasi kwamba ni mtoro. Duuh
 
Kwamba tofauti ya Sativa kushindwa kufungua shauri kudai fidia ni sababu Yeye ni layman kwenye mambo ya Sheria na Lissu ni nguli wa Sheria?

Lissu asilifanye jambo la KUPIGWA risasi kuwa personal, ajumuishe na watz wengine walioshambuliwa na kuumizwa kupata HAKI zao,

Kuwa kiongozi ni kuongoza njia.

Ni maoni yangu tu ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom