antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
🚮 🚮..kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.
Uvumi ni umbeya, uongo, uzushi.. tupa kule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🚮 🚮..kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.
Asaidiwe kufanya maamuzi sahihi.Uamuzi ni wake.
Huko siko kumsaidia.Ni kumchagulia la kufanya.Asaidiwe kufanya maamuzi sahihi.
Dawa ya deni ni kulipa. Kama ndege zitakamatwa na kushikiliwa (attachment) ni kwa ajili ya kuishinikiza serikali imlipe Lissu stahiki yake ndipo zirejeshwe. Sio kwa ajili ya kuzipiga mnada ili ipatitake fedha ya kulipa.Napinga Kwa nguvu zote Lissu au mtu yeyote kushanbuliwa.
Lakini hili la Nchi kushtakiwa, ndege zetu zikamatwe Ili Lissu alipwe fidia napingana nalo Kwa nguvu kubwa.
Suala hili liende kijinai Si kiuchumi!!
Angeisaidia kwanza familia ya Mawazo wa CDM aliyeuwawa kupata HAKI yake kwanza kabla ya kujiangalia Yeye binafsi.Dawa ya deni ni kulipa. Kama ndege zitakamatwa na kushikiliwa (attachment) ni kwa ajili ya kuishinikiza serikali imlipe Lissu stahiki yake ndipo zirejeshwe. Sio kwa ajili ya kuzipiga mnada ili ipatitake fedha ya kulipa.
Hivyo huna haja ya kupinga. Unatakiwa kuishinikiza serikali ilipe deni. Kibaya zaidi serikali huchelewesha madeni kiasi cha kulipa viwango vikubwa vya riba na kusababishia taifa hasara zaidi. Hapo ndipo pa kujali sana thamani ya pesa za walipa kodi.
Mbona Mwanambaya hazijawahi kufika, acha ziende tu.Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,
Wakili msomi Bwn. Tundu Lissu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote.
Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.
Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.
Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.
Hataki kuona ndege zikiruka.
Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.
Tuna mshaka naye.
PIA SOMA
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Labda. Tuseme kawa mbinafsi zaidi, sio?Angeisaidia kwanza familia ya Mawazo wa CDM aliyeuwawa kupata HAKI yake kwanza kabla ya kujiangalia Yeye binafsi.
Inawezekana kuwadai fidia ya madhara aliyopata kwa wahusika kwa majina yao? Maana kama alidhuriwa na Serikali itatumika Kodi kulipia fidia. Ndio maana inatakiwa wahusika wapatikane wawajibike.Lissu ashughulike na waliomshambulia,
Aachane na ndege zilizotokana na JASHO na Kodi zetu.
Yaani huyo mzungu awe na madai ya muda mrefu, lakini asubiri kupewa taarifa za Tundu Lisu, uza ubongo huo maana hakuna mzungu wa hivyo.Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,
Wakili msomi Bwn. Tundu Lissu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote.
Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.
Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.
Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.
Hataki kuona ndege zikiruka.
Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.
Tuna mshaka naye.
PIA SOMA
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Watatajana wakati huo.Inawezekana kuwadai fidia ya madhara aliyopata kwa wahusika kwa majina yao? Maana kama alidhuriwa na Serikali itatumika Kodi kulipia fidia. Ndio maana inatakiwa wahusika wapatikane wawajibike.
Kama hilo shirika ni sehemu ya dhuluma dhidi ya wananchi wasio na hatia acha life tu.Mkuu,
Inasikitosha tu namna huyu msomi nguli anavyotaka kuona shirika la ndege la nchi anayotaka awe Rais likiteketea.
Akamalize dhuluma dhidi ya wananchi. Hataki kuwa rais wa ndege bali kuwa rais wa kusimamia haki.Inashangaza uzalendo wake unatokana na nini kama kila mara anachowaza ni kukamata tu ndege za ATCL ,
Hatujui tu akilini mwake anawaza nini hatari zaidi ya kukamata hizo ndege.
Hivi huwa anagombea Urais ili akafanye nini??
Mimi nilivyomsikiliza sikupata hiyo picha. Nilipata picha kwamba:Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,
Wakili msomi Bwn. Tundu Lissu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote.
Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.
Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.
Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.
Hataki kuona ndege zikiruka.
Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.
Tuna mshaka naye.
PIA SOMA
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Ziliwahi kukamatwa mara 2 baada ya kushindwa kesi kamataifa, tena mara ya kwanza akiwa hospitali je nani alitushtaki ? Kuna mashtaka yapo mahakama za.kimataifa na tulishindwa kesi nani alipeleka ?Waliomshambulia Lissu washtakiwe, wakamatwe na wafungwe na wafilisiwe Mali zao Ili kumlipa fidia.
Ndege zetu hazihusiki hata kidogo,
Ni sawa tu udhulimiwe na Abdul Kisha fidia ukamdai Mwajuma!!
Hazikuwa filed na watz kesi hizo,Ziliwahi kukamatwa mara 2 baada ya kushindwa kesi kamataifa, tena mara ya kwanza akiwa hospitali je nani alitushtaki ? Kuna mashtaka yapo mahakama za.kimataifa na tulishindwa kesi nani alipeleka ?
Ndio inawezekana kudai Kwa Majina Yao,Inawezekana kuwadai fidia ya madhara aliyopata kwa wahusika kwa majina yao? Maana kama alidhuriwa na Serikali itatumika Kodi kulipia fidia. Ndio maana inatakiwa wahusika wapatikane wawajibike.
Ndio ni u inafsi huo,Labda. Tuseme kawa mbinafsi zaidi, sio?
Risasi 16 kwenye mwili wako, unaachaje kujiongelea na kujipigania. Bado umefukuzwa ubunge ukiwa kitandni, na mshahara umesimamishwa tangu day one unapigwa risasi kwamba ni mtoro. DuuhNdio ni u inafsi huo,
Walioumizwa CHADEMA ni wengi,
Watanzania walioumizwa ni wengi,
Angefungua shauri akijumuisha wote waliotekwa na kuumizwa, hapo angeo ekana anapigania maslah ya Watanzania, Si binafsi .
Kwamba tofauti ya Sativa kushindwa kufungua shauri kudai fidia ni sababu Yeye ni layman kwenye mambo ya Sheria na Lissu ni nguli wa Sheria?Risasi 16 kwenye mwili wako, unaachaje kujiongelea na kujipigania. Bado umefukuzwa ubunge ukiwa kitandni, na mshahara umesimamishwa tangu day one unapigwa risasi kwamba ni mtoro. Duuh