Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,
Wakili msomi Bwn. Tundu Lissu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote.
Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.
Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.
Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.
Hataki kuona ndege zikiruka.
Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.
Tuna mshaka naye.
PIA SOMA
-
Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani