Hizi ndege za ATCL zimemkosea nini Lissu? Mbona anaziwazia mabaya tu?

Kuna aliyeonesha nia ya kuwatafuta wahusika?Acha afanye litakalomsuuza moyo wake.Naamini kila akiziona hizo ndege anaona sura ya mbaya wake.
Si Kweli,

Hizo ndege mbona anazipanda mara Kwa mara?

Lissu aachane na ndege zilizonunuliwa Kwa JASHO letu, kuendelea na hatua hiyo, tutamwona anatumika na watu Fulani wasio na Nia njema na Taifa na Uchumi na raslimali zetu.
 
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,

Wakili msomi wa kwenye majukwaa Bwn. Tundu Lisu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote,

Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.

Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.

Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.

Hataki kuona ndege zikiruka.

Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini?? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.

Tuna mshaka nae.
Akafilisi madeni
Nawasiwasi kama c1 ulipata 4m4
 
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,

Wakili msomi Bwn. Tundu Lissu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote.

Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.

Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.

Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.

Hataki kuona ndege zikiruka.

Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.

Tuna mshaka naye.

PIA SOMA
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Zile 2 zilizokamatwa mwanzoni, moja Canada na nyingine South Africa, alisababisha nani ? Unaweza kuweka clip ya sauti akidai hayo?
 
Huwa anagombea urais kwa ajili ya nini kama hapendi maendeleo kwa Taifa lake.
Kama kawaida yako, kwenye ubora wako.

Nilidhani ujinga umeshakutoka unavyoshinda humu ukiipinga serikali ya awamu hii baada ya kuisapoti awamu ya jiwe kwa kila uozo ilioufanya, kwa kila tone la damu ililolimwaga.

Hizo ndege zingekuwa zimenunuliwa na Lady Gaga wala usingeleta stori za kutokupenda maendeleo, ila kwakuwa imeguswa angle ya jiwe umejifanya kuwa mzalendo leo ilhali kila siku unashinda humu ukimpinga Gaga kwa kwa kila kitu.

Nimependa wachangiaji walivyokupa za uso mfululizo bila kukupumzisha
 
Si Kweli,

Hizo ndege mbona anazipanda mara Kwa mara?

Lissu aachane na ndege zilizonunuliwa Kwa JASHO letu, kuendelea na hatua hiyo, tutamwona anatumika na watu Fulani wasio na Nia njema na Taifa na Uchumi na raslimali zetu.
Usimpangie cha kukikamata au kukiacha.Kila ubaya ulipwe kadiri ya dinari zitakiwazo.
 
..hakuna mwanasiasa na mwanaharakati ametumia taaluma yake kuwapigania Watanzania kama Tundu Lissu " Simba wa Tanganyika. "
Mijinga mingi nchi hii hailijui hili, imepotezwa na propaganda za sisiem na kuaminishwa watu wa muhimu kama hao kuwa ni maadui wa taifa.
 
Usimpangie cha kukikamata au kukiacha.Kila ubaya ulipwe kadiri ya dinari zitakiwazo.
Napinga Kwa nguvu zote Lissu au mtu yeyote kushanbuliwa.

Lakini hili la Nchi kushtakiwa, ndege zetu zikamatwe Ili Lissu alipwe fidia napingana nalo Kwa nguvu kubwa.

Suala hili liende kijinai Si kiuchumi!!
 
Endelea kupinga hadi uchoke.
 
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,

Wakili msomi Bwn. Tundu Lissu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote.

Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.

Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.

Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.

Hataki kuona ndege zikiruka.

Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.

Tuna mshaka naye.

PIA SOMA
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
images (4).jpeg
 
Endelea kupinga hadi uchoke.
Waliomshambulia Lissu washtakiwe, wakamatwe na wafungwe na wafilisiwe Mali zao Ili kumlipa fidia.

Ndege zetu hazihusiki hata kidogo,

Ni sawa tu udhulimiwe na Abdul Kisha fidia ukamdai Mwajuma!!
 
Kama wanaotakiwa kuchunguza hiyo jinai wameonesha hawana nia na hawataki hilo jambo litokee(kuwakamata wahalifu)unadhani Lissu atafanyaje?
 
Sasa ndio atushtakie ndege zetu zikamatwe?

Hilo halikubaliki.

Atumie ushawishi wake kisheria kuwashughulikia wao na Mali zao binafsi hao waliohusika.
 
Rejea:Ukitaka aliyekuudhi aumie sana,umiza mtu au kitu akipendacho.
 
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,

Wakili msomi Bwn. Tundu Lissu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote.

Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.

Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.

Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.

Hataki kuona ndege zikiruka.

Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.

Tuna mshaka naye.

PIA SOMA
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Una uhakika gani kwamba kuwa na hizo ndege ni maendeleo kwa taifa la Tanganyika?
Hiyo mikopo na mauzo ya bandari na mbuga zetu ni ya nini ikiwa kuwa na hizo ndege tayari ni maendeleo?
 
Zile risasi zilikuwa chache sana kwa msaliti Lisu
 
Back
Top Bottom