Huwa anagombea urais kwa ajili ya nini kama hapendi maendeleo kwa Taifa lake.
..hakuna mwanasiasa na mwanaharakati ametumia taaluma yake kuwapigania Watanzania kama Tundu Lissu " Simba wa Tanganyika. "
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa anagombea urais kwa ajili ya nini kama hapendi maendeleo kwa Taifa lake.
Mrudishieni mguu wake ndo atawaacha. Mlimpiga mguu naye anataka usafiri wetu aondoke naoLeo akizungumza na Waandishi wa Habari ,
Wakili msomi wa kwenye majukwaa Bwn. Tundu Lisu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote,
Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.
Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.
Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.
Hataki kuona ndege zikiruka.
Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini?? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.
Tuna mshaka nae.
Ili uitwe mkopo, lazima urudishwe na kulipwa Kwa JASHO litokanalo na kufanya KAZI.Jasho lako sio mkopo tena?
Hivi wewe una elimu gani?Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,
Wakili msomi Bwn. Tundu Lissu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote.
Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.
Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.
Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.
Hataki kuona ndege zikiruka.
Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.
Tuna mshaka naye.
PIA SOMA
- Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,
Wakili msomi wa kwenye majukwaa Bwn. Tundu Lisu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote,
Endapo akifanikiwa madai yake ya mapesa, basi atakua akikamata tu ndege zetu huko nje.
Hii si mara ya kwanza kwa Lisu kupambana na ndege za ATCL kwani uvumi upo kwamba yeye ndiye aliyemshtua yule mkulima kuzikamata ndege zetu huko nje.
Inashangaza namna huyu mgombea Urais wa Taifa hili asivyopenda kuona maendeleo kwa Taifa lake.
Hataki kuona ndege zikiruka.
Tuna mashaka na uzalendo wake, aligombea urais 2020 ili akafanye nini?? Akaliue Shirika au aifilisi nchi.
Tuna mshaka nae.
Wananchi maskini hatukuhusika kumshambulia Lissu Kwa risasi,Punguza unafiki na uchawa.
Ukitaka adui aliyekuumiza alie kwa kupandisha kamasi na kujiapiza piga panapouma sana hasa anaowapenda au anachokipenda zaidi.Lissu ashughulike na waliomshambulia,
Aachane na ndege zilizotokana na JASHO na Kodi zetu.
Ofcourse alitumia elimu yake kuita ripoti inayotetea maslahi ya nchi "taka taka"
Soon mtatajana wenyewe, dhulma haidumu, haki itacheleweshwa tu ila lazima itashinda.Kina nani hao maana mpaka sasa tunasikia tuhuma tu.
Hata huyo mzungu ambaye kamfanya kama reference nae kasikia tu.
Sasa Lissu mmoja tu asa abishe umma wa Watanzania kulipishwa kufidia HASARA aliyopata?Sheria inaruhusu, attachment of property
Sisi Watanzania maskini wavuja JASHO hatukuhusika kumshambulia Lissu,Ukitaka adui aliyekuumiza piga panapouma sana hasa anaowapenda au anachokipenda zaidi.
Umeandika mada zaidi ya moja kwa wakati mmoja...ripoti zile ni takataka kweli.
..si umeona jinsi makampuni ya mabeberu yanavyotupiga kwa mafaini kutokana na maamuzi yaliyofanyika kwa kuongozwa na upumbavu wa ripoti zile?
Unauliza maswali ya kizuzu sana.Huwa anagombea urais kwa ajili ya nini kama hapendi maendeleo kwa Taifa lake.
Kuna aliyeonesha nia ya kuwatafuta wahusika?Acha afanye litakalomsuuza moyo wake.Naamini kila akiziona hizo ndege anaona sura ya mbaya wake.Sisi Watanzania maskini wavuja JASHO hatukuhusika kumshambulia Lissu,
Wahusika watafutwe kijinai na wafungwe,
Habari ya kutumia Kodi zetu kumlipa fidia ya mabilioni Mimi siliafiki.