Hizi ndio nchi ambazo Marekani na Israel hawawezi kuthubutu kuingiza pua zao kushambulia kijeshi

Toa Iran hapo, atapigwa kama ngoma muda sio mrefu.
 
Wanainyong'onyeshaje Russia wakati nchi za magharibi ndo zinalalamika ugumu wa maisha baada ya Russia kupiga marufuku uuzaji wa gesi yake kwa nchi hizo?
 
Russia alijiapiza eti yeyote atakaye ingilia vita kati yake na Ukraine kwa kuipa chochote Ukraine atapata kichapo ambacho hatakuja kukisahau. Sasa najiuliza Je Marekani anaisaidia Ukraine silaha kwa kificho?
Marekani kwa sasa haitoi tena msaada kwa Ukraine, huku Russia ikiendeleza kichapo kwa kibaraka huyo wa magharibi.
 
Toa Iran hapo, atapigwa kama ngoma muda sio mrefu.
Iran haikuanza kushambulia kambi za Marekani jana au juzi. Amekuwa akifanya hivyo miaka na miaka na hakuna anaeweza kuthubutu kumface moja kwa moja. Labda washambulie vijana wake ambao na wao watajibu tu baada ya muda.

Hiyo sio Venezuela, Libya au iraq.

Hakuna..
 

Matokeo wamenyong’onyea wao. US ameamua yaishe kaanza kuagiza tena mafuta Russia[emoji23][emoji23]
 
Mwaka 2021 Israel walishambulia kituo cha nuclear cha Iran cha Karaj kwa drones.

China na Marekani sio maadui kihivyo, juzi kati tu hapo Xi Jinping alikuwa California anagonga mvinyo na Biden.
Hilo shambulio lilitumia mamluki na pia Israel hawakukiri wala kukataa mashtaka walikaa kimya.
 
Hilo shambulio lilitumia mamluki na pia Israel hawakukiri wala kukataa mashtaka walikaa kimya.
Israel wenyewe haiwezi kukiri moja kwa moja sababu ya kuhofia kisasi cha Iran kitakuwa na madhara makubwa kwao. Nahisi Marekani aliwambia wasijitokeze kukubali kichwa kichwa inaweza ikala kwao.
 
Mkumbushe kuwa Iran anachapwa sana Syria na myahudi na amekunja mkia
Unazungumzia Israel hii inayotumia jeshi lote la nchi nzima hadi askari wa akiba, midege ya kijeshi, meli na vifaru kupambana na vijana wasiozidi elf 20 tu ambao wanatumia silaha za kienyeji na bado wameshindwa kukomboa mateka wao?

Ni kama vile jwtz iingie mzigoni na silaha zake zote kupambana na kakikundi ka vijana wa panya road pale Manzese na bado washindwe kuwadhibiti alafu wewe bado ulione jwtz kuwa ni jeshi bora πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani marekani kwa urusi amechoka make ilikua siku3 saivi ni miaka mitatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…