Hizi ndio nchi ambazo Marekani na Israel hawawezi kuthubutu kuingiza pua zao kushambulia kijeshi

Wengi hawajui bali ushabiki tu na hata chuki ila vita mkuu sio rahisi kulianzisha watapiga pembeni tu
 
Iran juzi amepigwa na Pakistani tena ndani ya ardhi yake, akakimbilia kuomba msamaha.
Pakistan hii hii ambayo haina uwezo wa kutengeneza hata risasi, inayotegemea kununua silaha kutoka katika nchi zingine ndo iwe na uwezo wa kupambana na nchi inayounda silaha zake yenyewe na haitegemei badget ya kijeshi itoke Marekani na Ulaya kila mwaka kama Israel!

Pakistan ishukuru Iran haikutaka kuingia vitani na Pakistan kwa sababu ya mazingira ya vita katika eneo. Kwa sababu kulikuwa na mazingira ya kuchangiwa na nchi tatu zikiwemo Israel, Marekani na Pakistani yenyewe.

But hata hivyo Pakistan ni nchi, tofauti na Israel inashambuliwa kila siku na wanamgambo tu wa hezbulla ambao hawana silaha za maana, hawana jeshi wala mamlaka yoyote ya nchi na bado hajaweza kuwadhibiti kwa chochote.
 
Na ndio ukweli tena inashambulia bila kuogopa yaaani
 
Mkuu si Iran inataka kuifuta Israel kwenye Ramani ya dunia. Nini kimemshinda?
Mkuu lengo la Iran sio kuifuta Israel kwa sababu haipeani mpaka na Israel na pia haina masilahi yoyote kutoka huko ilipo Israel. Lengo kuu la Iran ni kuizuia Israel isijitanue mpaka ije iifikie Iran kidogo kidogo.

Ukipata muda ucheki huu uzi niliokuwekea hapo chini utaelewa kila kitu. Israel ni kama inatumiwa na nchi zenye nguvu kwa malengo yao ya baadae. So huu ujinga ndo Iran kama taifa lenye kujitambua miaka na miaka haitaki kuusikia.
 

Attachments

  • Screenshot_20240125-152920.jpg
    84.8 KB · Views: 2
Kwa hiyo vita ili ushinde ukomboe mateka,akili za kikobazi hizi!
 
Tanganyika umeiacha
 
Kwa hiyo vita ili ushinde ukomboe mateka,akili za kikobazi hizi!
Lengo la kuingia vitani ilikuwa ni kuwamaliza Hamas na kuokoa mateka kwa muda wa wiki 1.

Leo tuna miezi minne Hamas hawajamalizwa na mateka hawajaokolewa. Endelea kujazwa matango pori kijana.
 
Iraq hakuitindia us tena huku russia akimsspoti?
 
Toa Iran toa udini unakupofusha.
 
Akatiwe msaada ili iweje mbona mnaowaita panya road(hamas)hadi msikitini kwenu kule kilanjelanje mnachangia.Russia hachangiwi na Iran?kwa hiyo Iran yuko juu kuliko Russia?akili za bikra 72 hizi!
 
Lengo la kuingia vitani ilikuwa ni kuwamaliza Hamas na kuokoa mateka kwa muda wa wiki 1.

Leo tuna miezi minne Hamas hawajamalizwa na mateka hawajaokolewa. Endelea kujazwa matango pori kijana.
Ila kwa russia kutoka siku 3 hadi miaka kashinda vita,kobazi wanafiki sana!
 
Russia alijiapiza eti yeyote atakaye ingilia vita kati yake na Ukraine kwa kuipa chochote Ukraine atapata kichapo ambacho hatakuja kukisahau. Sasa najiuliza Je Marekani anaisaidia Ukraine silaha kwa kificho?
Ila kuna ukakasi flani yani mimi napigana nawewe lakini wanaonisaidia kukupiga wanatangaza siraha za kukupiga huu ni uzoba na woga kwa siraha walizotangaza kuzipeleka ukrein basi mrusi angesumbuka mno ila sasa mh
 
Kabisa madhara wangebaki nayo wenyewe taiwan kama kievu tu
 
Iraq hakuitindia us tena huku russia akimsspoti?
Imdindie wakati Marekani ana kambi zake tayari katika ardhi yao na amekataa kuzitoa?

Hivi unaweza kusema unamdindia adui yako na wakati anajimilikisha chumba katika nyumba yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…