Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Kwani hawa si wanalipwa kutokana na elimu na muda kazini?! Kasoro Ngorongoro ndio anajilipa mshahara

Sasa wewe unaandika unono, unono upi unaongelea ww
Amemaanisha hivyohvyo ulivyomaanisha, Ila ukikompea ndo inakuwa hvyo
 
Hivi TFS vs TAWA nani yuko vizuri kuzidi mwenzake kwa upande wa diploma
 
almost wako sawa, ila wanakimbizwa na mtu anaitwa tanapa, diploma anatembea paredu sana
Sasa boss, kwa uelewa wako Je hao wa tawa diploma plus posho zao wanaweza kufika ngap na hao wa tanapa wanaweza fika ngap plus posho zao, kwa kada za ofisin mfano accountant au IT
 
Sasa boss, kwa uelewa wako Je hao wa tawa diploma plus posho zao wanaweza kufika ngap na hao wa tanapa wanaweza fika ngap plus posho zao, kwa kada za ofisin mfano accountant au IT
Tanapa + posho wanakimbiza. Posho ya tawa na tfs bado hawafikii moto wao
for the record askari wa tanapa, private anakimbiza polisi, tpdf kwa basic salary
 
Naona umeamua kuja kuvunja ndoa ZETU haya bana mapenzi yako yatimixwee
 
Dereva TANAPA analipwa kiasi gani kwa mwezi licha ya magendo na wifi wa vifaa, yaani mshahara tu.
 
Kwani hawa si wanalipwa kutokana na elimu na muda kazini?! Kasoro Ngorongoro ndio anajilipa mshahara

Sasa wewe unaandika unono, unono upi unaongelea ww
Katumwa huyu
 
Natafuta connection kokote katika hizi taasisi zawadi nono kutolewa
 
Natafuta connection kokote katika hizi taasisi zawadi nono kutolewa
Hivi mnaposema connection, huwa mnamaanisha mchukuliwe tu bila interview, yani msishindanishwe na wengine,kwa uspesho gani mlio nao?
Kuna taasisi ya Umma wanayofanya hivyo?
Nijuavyo hata private zinazojielewa hakuna ajira za hivyo,ni lazima watu mpambanishwe.
 
Mwenzio anataka kuhamia
 
Wewe jamaa usikalili mambo wewe ushawahi andikiwa kimemo ukatumwa sehemu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…