Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Kwa hiyo TAA ni unyama au njaa kali??πŸ˜†πŸ˜†. Maana mnabishana tu humu. Sasa kila mtu aliye TAA awake kopi ya salary slip yake inayoonesha mshahara ghafi ili tuhakikishe.
 
Jamaa ameeleza ukweli hapo. Kwa kuongezea, wanaingia kwa shift kama tatu, hivyo sahau kuhusu extra duty. Zipo ila sio kivile
 
Jamaa ameeleza ukweli hapo. Kwa kuongezea, wanaingia kwa shift kama tatu, hivyo sahau kuhusu extra duty. Zipo ila sio kivile
Tena shift ni day ,night ,easy ,off, upande wa security wana support..yaani anaweza kuingia day night then akasupport
 
Vip kuhusu TAAS 4
 
Vp kuhusu bodi ya Nataka na mazao mchanganyiko (CPB) VP mishahara Yao ipoje? Na jee vp kuhusu posho zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…