Hizi ndizo sababu za kutopokea simu za baba yangu mzazi

Mwambie apambane akupe mtaji maana yeye ndiye aliyekuleta duniani.


Achana na mambo ya ndoto kuwa karibu na muumba wako mweleze matatizo yako
Mkuu mimi tena ndo niombe mtaji kwa mzee dingi...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Upate laana kisa hupokei simu?

Laana sio nyepesi hivyo mkuu.

Jenga kesho ya wanao mzee wako alishafeli tayari anataka kushuka na wewe
Daaah na mimi hapa napambana ku kata hii chain ya poverty mkuu
 
Sijaelewa kabisa mkuu nielekeze
Ndoto ni mawasiliano baina ya watu 2 kati yako na ulimwengu kwa maana na mungu kwa yule anayeamini. Sasa ulimwengu ukitaka kuwasiliana na wewe au kukupa wewe ujumbe hutumia njia au namna ambayo itawasiliana na wewe kukupa ujumbe, ambao utaweza kuelewa nini unaambiwa. Na njia hiyo mojawapo ni ndoto

Sasa umekuja kuomba kupewa tafsiri ya ndoto uliyoota na hapo hapo unasema hupokei simu ya mzazi wako. Unganisha dot kati ya ndoto yako na kichwa cha uzi wako majibu utapata
 
Daaah sawa mkuu nimechuku ushauri wako na naufanyia kazi..
Japo kuhusu pombe hapana situmii ila vingine ni ukweli mtupu
Kamari na Mishangazi 🀣
Achana na mishangazi inakutia nuksi na mikosi tu hiyo. Kamwe hautofanikiwa kimaisha kama utaendekeza kulala na wanawake ambao ni sawa na Mama zako.
 
Ujumbe mzuri. Chukua hii Mkuu Ubongo Dhaifu.
 
Kikubwa kaza tu hakuna namna no one is coming to save you.
Surviving is winning Franklin..
 
Ifike nyakati mue na ustaha wa kauli zenu mtu anaomba tumpe heads up wew unaanza kuponda uandishi wake rubbish πŸ—‘
Hio ndo Jf tulioikuta sisi ukiandika vibaya unakula za kichwa then ndo unasaidiwa.
 
Asante sana kaka angu manyanza nachukua haya kama ushauri kutoka kwa mtu wa karibu kwangu..

Nafanyia kazi kaka
Ushauri wangu wa muhimu sana. Rejea kisa cha Nabii Yusuf
Kisa cha Yusuf kinatufundisha jambo kubwa sana. Yusuf alikuwa kijana mwenye sura nzuri na alikabiliwa na jaribu kubwa sana. Mwanamke mwenye mamlaka alimshawishi, milango ilikuwa imefungwa, na hakuna mtu aliyekuwa anaona. Hata hivyo alichosema kilikuwa wazi:
β€œNajikinga kwa Allah.”

Kijana bado una muda wa kujijenga, kujirekebisha na kuwa mfano mzuri kwa wengine. Ujana ni kipindi cha majaribu, lakini pia ni kipindi cha kujenga tabia njema zitakazobeba maisha ya baadaye.

Achana na mishangazi
Achana na mishangazi
Achana na mishangazi

Hata kama inakuhonga ili upate hela au mahitaji yako ya kila siku.

Rejea kisa cha Nabii Yusuf

Poor Brain
 
Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…