Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Hizi ndege wangeshazileta lakini kupanda tu ndege ya kivita kama F16 lazima ufanyiwe testing kwenye simulators, wanaziita centrifuge machines, kumbuka kasi ya ndege ya kivita inasababisha acceleration forces, ile acceleration hupelekea kama kuvutwa hivi wanaita G force.

Ndege vita inaweza fikisha hadi 9G , maana yake ile gravity ya dunia inakuwa mara 9.

Hivyo marubani wanaweza ku withstand huo uvutano usababishwao na acceleration kutokana na mafunzo maalumu, vifaa maalumu na techniques mbali mbali za upumuaji n.k

Hizo forces hupelekea kuathiri hadi heart rate, mzunguko wa damu n.k na hupelekea pilots hadi kuzirai wakiwa kwenye testing ya hizo machines.

Kwa mtu average huwezi withsatnd hizo G forces, utazirai au ukafa kabisa.

Huo uvutano unaweza kusukuma damu kwa wingi kuelekea kichwani, au kuelekea miguuni ndipo hapo mtu huzirai..

Kwa hii hypersonic yenye speed karibu mara 7 ya ndege vita, hata rubani wa F16 hawezi himili hio G force.

Ingekua wameshatengeneza hadi ndege za abiria unasafiri masaa ma 3 upo USA au China.
 
Sio kinyonge bali muda utaongea. Uongozi mzima wa Hezbollah hamna, uongozi wa Hamas kabaki mmoja mafichoni, Iran inapoteza hata Brigadier General, Gaza hairushi tena roketi.

Mlianza mnaisema Hamas inawamaliza Wayahudi huku Hezbollah na Iran zikitoa onyo, ghafla Hamas ikazima mkaitelekeza mkahamishia majukumu kwa Hezbollah na Iran ikaendelea kutoa onyo, ghafla Hezbollah zikaanza pagers kulipuka zikafuata strikes. Mkahamisha matumaini kwa Iran.

Ipe muda Iran si imeshambulia na makombora 200. Israel ikitumia hata 50 fanya mlinganyo
Israel ikitaka kushambuliana na Iran itapigwa tu, missiles za Iran zinafanya anga la Israel kuwa wazi, iron dome imezoea kuzuia katyusha za Hamas...

Hata hizi missiles za Iran walizotumia hazina kasi, wana missiles niliona wanafanya testing jangwani kasi yake huwezi ona zinashuka kama hizo.
 
Attachments

  • IMG_9057.png
    IMG_9057.png
    43.1 KB · Views: 1
Sasa rai wako kwenye mahandak watakufaje wakat wana ving'ora lukuki vya kuwapa taarifa.. unafikiri wangekuwa kwenye hayo maeneo yaliopigwa wasingekufa...

Kutokufa kwa raia ni ni sababu ya miundo mbinu israel alioweka ili kufanya vifo vya raia vipungue kadiri inavyowezekana.. sio swala la roho nzuri za iran. Bomu likishapigwa anaerusha hana uwezo wa kukua wakat huo hapo mahali kuna watu au hakuna na hana uhakika wa 100% mabomu yote yatatua sehem sahihi..

Iran angekuwa na roho nzuri ya kutaka asiue raia angepiga bomu baharini..

We angalia video ya yule mpaleatina alieuawa .. hajalipulikiwa na bomu bomu limelipuka angani, mabak
Yamemuangukia amekufa.. .

Maana yake angekuwa kwenye handaki asingekufa, sema ndo alivyopangiwa kuondoka.
israel mabomu yake yanavyoua raia ni sababu ya miundo mbinu ya eneo husika base za jeshi liko too close na raia..

Mfano tanzania tupigane vita, adui akiamua kulipua base za jeshi zilivyokuwa karibu na makaz ya watu lipigwe bomu lenye ku cover 100 radius unategemea usiwe na vifo vya raia?
Iran hailengi raia. Huo ndio ukweli.
Iran ikitaka kumaliza raia Israel inaweza shambulia masaa ya kazi watu wapo kwenye towers, ghorofani au vituo vya usafiri kama airport, bus stations n.k

Halafu mashambulizi yakawa ya kushtukiza, kumbuka wana missiles zinafika Israel ndani ya dkk chache.

Mtu yupo ghorofa ya 20, atakimbia sa ngapi kwenye basement? Hospitalini , viwandani n.k...

Hakuna zoezi rahisi kama kulenga raia, usije kujidanganya eti mahandaki.

Mnaweza hata kushabuliwa night clubs, bar n.k...
 
Kila nyumba ya myahudi inanamna ya mfumo maalumu wa kujilinda dhidi ya mashambulizi. Kizuri zaidi marekani alitoa taarifa mapema na waisraeli wakaelekezwa Cha kufanya. Ukitaka kuua wale watu tumia kombora linalofukua hadi chini ya ardhi vinginevyo huwapati hata mmoja!!
 
Sawa wamepiga,ila majibu ya myahudi huwa mabaya na yanaogofya sana.
Turned watamfanyaje muajemi,walimtaka na sasa amekuja bila kuogopa
Myahudi wa wapi Hitler amewakaanga kama senene..

Watu mnakuza mambo sana..

Israel bila US ni Burundi iliyochangamka tu.
 
Israel ikitaka kushambuliana na Iran itapigwa tu, missiles za Iran zinafanya anga la Israel kuwa wazi, iron dome imezoea kuzuia katyusha za Hamas...

Hata hizi missiles za Iran walizotumia hazina kasi, wana missiles niliona wanafanya testing jangwani kasi yake huwezi ona zinashuka kama hizo.
Mm namshangaa sana huyu jamaa na uchambuzi wake.
Kiburi cha Israel hakisabishwi na wao kuwa na uwezo bali kiburi chao kinatokana na kukingiwa kifua na Marekani na Uingereza.
Na lengo la Israel kuichokoza Iran ilikuwa ni kuzivuta nchi hizo kwenye vita na Iran, lakini kwa kauli za viongozi wa USA na Uingereza yanaonesha wazi kuwa hawataki vita na Iran.

Shambulizi hili la Iran limeifedhehesha sana Israel na washirika wake wanao jitapa kuwa na mifumo mizuri ya kujilinda.
Na mbaya zaidi Iran kutaka kuwaonesha uwezo alio nao hatafuta soft target bali ametafuta target ngumu sana ili yajaa mifumo ya ulinzi.
 
Kwamba hayo makombora yote yalikuwa yanakwepa watu?😂
Iron Dome- Makombora ambayo itaona kuwa yatadondoka kwenye majengo au sehemu zenyewe watu na mali ndo huyadondosha- na Pia Israel GPS/Google Map sehem sensitives azisomi na Makombora ya Iran ni GPS Guided. So Yamepotea Mengi(Kwa kukosa GPS directives) na yale yaliofanikiwa kupiga sehemu nyeti Iron Dome aliyawai.
 
Kila nyumba ya myahudi inanamna ya mfumo maalumu wa kujilinda dhidi ya mashambulizi. Kizuri zaidi marekani alitoa taarifa mapema na waisraeli wakaelekezwa Cha kufanya. Ukitaka kuua wale watu tumia kombora linalofukua hadi chini ya ardhi vinginevyo huwapati hata mmoja!!
Si kweli.
Iran haijali sana kuhusu taarifa zake za mashambulizi kujulikana, Iran ilishatoa taarifa mara kadhaa kusema watashambulia.

Wakitaka kufanya siri inawezekana, wanaweza kufanya mashambulizi muda specific watu wana weekending au wapo kazini.

Raia wa Israel washukuru tu Iran inajali haki za binadamu na kufuata sheria za kivita, la sivyo yanakuwa mengine.

Iran wakisema hata warushe missiles 10 tu ambazo ni hypersonic wapige tower moja yenye ofisi za watu hapo Tel Aviv itakuwa balaa, jengo likishuka na walioko barabarani wanaishia hapo, waliopo kwenye magari n.k...

Kumbuka hypersonic ina maneuver kukwepa air defenses, na zoezi kama hilo la kurusha hypersonic kama 10 tu lotahitaji operators wachache, kumbuka shambulizi la kambi za jeshi US pale Iraq.
 
Israel akinyandua mtu huwa tunaona video na picha,
Nyie video na picha ziko wapi?
Israel inasaidiwa na media zote unazozijua na hizo hizo media zinaficha taarifa zote kutoka pande wa pili kuua wandishi wa habari na kuhack taarifa huru zote...mkiangalia Mfano RT imeondolewa kwenye social media zote wanazomiliki hao mashoga
 
Iron Dome- Makombora ambayo itaona kuwa yatadondoka kwenye majengo au sehemu zenyewe watu na mali ndo huyadondosha- na Pia Israel GPS/Google Map sehem sensitives azisomi na Makombora ya Iran ni GPS Guided. So Yamepotea Mengi(Kwa kukosa GPS directives) na yale yaliofanikiwa kupiga sehemu nyeti Iron Dome aliyawai.
Hakuna sehemu zinalindwa kama kambi za jeshi na hizo air defenses..

Iran kapiga military bases zenye kila aina ya air defenses kuanzia patriot hadi iron dome...

Hypersonic ni kombora linakimbia hadi mach 5 na zaidi na kibaya zaidi kina uwezo ku maneuver kukwepa air defense.

Iron dome ni takataka mbele ya hayo madude.
 
Mm namshangaa sana huyu jamaa na uchambuzi wake.
Kiburi cha Israel hakisabishwi na wao kuwa na uwezo bali kiburi chao kinatokana na kukingiwa kifua na Marekani na Uingereza.
Na lengo la Israel kuichokoza Iran ilikuwa ni kuzivuta nchi hizo kwenye vita na Iran, lakini kwa kauli za viongozi wa USA na Uingereza yanaonesha wazi kuwa hawataki vita na Iran.

Shambulizi hili la Iran limeifedhehesha sana Israel na washirika wake wanao jitapa kuwa na mifumo mizuri ya kujilinda.
Na mbaya zaidi Iran kutaka kuwaonesha uwezo alio nao hatafuta soft target bali ametafuta target ngumu sana ili yajaa mifumo ya ulinzi.
Hata Biden amesikika akisema hawategemei kuona Israel ikifanya retaliation hivi karibuni...

US anaangalia maslahi yake, huku Ukraine kule China, bado aingie vita na Iran.

Hata raia wa US hawataki huo upuuzi.
US ikisema usifanye retaliation hawezi fanya.

Iran ipo seriously hivi sasa, na wanamaanisha.
 
Hakuna sehemu zinalindwa kama kambi za jeshi na hizo air defenses..

Iran kapiga military bases zenye kila aina ya air defenses kuanzia patriot hadi iron dome...

Hypersonic ni kombora linakimbia hadi mach 5 na zaidi na kibaya zaidi kina uwezo ku maneuver kukwepa air defense.

Iron dome ni takataka mbele ya hayo madude.
Military base gani imepigwa hapo israel na ushahidi wa picha na sio maneno kutoka vijiwe vya alkasus 🤣
 
🤣🤣🤣wana roho nzuri maajabu duniani hayaishi.Ww sema hao jamaa kila wakijitahidi kurusha vi manati vyao vinaishia juu havitui chini.Hivi kuna muislam anampenda muislaeli mtoa roho...yaan hao wanatamani hako ka nchi wakafute ww unasema wana roho nzuri😂😂
Mkuu sio lazima uongee kama hujui kitu.
Kila mtu aliona jinsi makombora yakitua Israel yamepiga na kambi ya anga ya Nevatim.
 
Shambulio alilofanya Iran sio la mwanzo ni mwendelezo. Ni jibu la shambulio alilofanya Israel dhidi ya Hamas, Hezbollah na maafisa wa Iran. Ambao walishirikiana kuishambulia Israel.

Chanzo cha yote haya ni mashambulizi ya axis of evil dhidi ya Israel. Kwahiyo mtulie kila mtu apewe dozi ya kiwango chake, ilianza Hamas, ikaja Hezbollah na sasa Iran.

Shambulizi la Israel dhidi ya Iran haiwezi kuwa uchokozi ni retaliation. Na hata mkidai hivyo bado Israel anaimudu Iran.
Mkuu ushaanza kusahau kuwa chanzo cha mgogoro ni Israel and USA geopolitics intervention hapo middle east!?
Au unataka tuanze kufukua makaburi?
 
Unazani iran hajawahi kuota kuiangamiza Israel?
Tena aliwahi tamka wazi kabisa kuwa ataiondoa kwenye uso wa dunia, vipi mpaka leo ameweza?

Mbona kakimbilia kuomba s 400 za Russia kulinda nuke plants.?
Mwambie USA na NATO wakae mbali na mashariki ya Kati.
Uone hiyo Israel yako itavyobebwa msobe msobe.
 
Si kweli.
Iran haijali sana kuhusu taarifa zake za mashambulizi kujulikana, Iran ilishatoa taarifa mara kadhaa kusema watashambulia.

Wakitaka kufanya siri inawezekana, wanaweza kufanya mashambulizi muda specific watu wana weekending au wapo kazini.

Raia wa Israel washukuru tu Iran inajali haki za binadamu na kufuata sheria za kivita, la sivyo yanakuwa mengine.

Iran wakisema hata warushe missiles 10 tu ambazo ni hypersonic wapige tower moja yenye ofisi za watu hapo Tel Aviv itakuwa balaa, jengo likishuka na walioko barabarani wanaishia hapo, waliopo kwenye magari n.k...

Kumbuka hypersonic ina maneuver kukwepa air defenses, na zoezi kama hilo la kurusha hypersonic kama 10 tu lotahitaji operators wachache, kumbuka shambulizi la kambi za jeshi US pale Iraq.
Unaakili wewe kweli kwamba makombora 180 kutoka Tehran yalikuwa yalirushwa Kwa namna ya kuwakwepa watu?
 
Back
Top Bottom