[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wacha uhuni wewe kijana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante sanaSawa na hongera sana kwa moyo huo.Ubarikiwe.
Hahahaha nimeshaokoka mkuuUhuni vipi! !? Hautaki kuokoka. .Bwana ana kuhitaji umtumikie ''Fanya tujuane aise -haha
Mimi kwa kweli mwanaume hata awe na kibamia ili mradi ananipenda ananijali hanisaliti haninyanyasi anatimiza majukumu yake yote na ananipa uhuru huyo ananifaa kabisa
Wewe si Ke?Kuna mmoja jana kaja kaondoka na tisheti yangu da nime mind kinoma
Hahahaha nimeshaokoka mkuu
Hizi jinsia 2 bwana. ...Yaani zime kuwa hasimu sana. Dah! !! Mkimaliza kubishana mniambie nizime taa wenyewe tuna taka tulale. ..kama vipi muende makwenu ..usiku tayari u-mesha tamalaki
Wanaume wa siku hizi kwa kulalama..gubu zitaisha lini? Kha! Hiyo yote kukwepa jukumu la kuombwa pesa tu
Yeye hawezi kujitimizia au ni dada wa nyumbani?Haya mambo yanachangamoto sana,kuna siku mchepuko wangu uliniuliza swali usiponitimizia wewe mahitaji yangu unataka nani anitimizie?Nilikaa kimya nikafikiria sana......ukipenda kitu kizuri ni kugaramika tu,hakuna namna.
Uyo anae lalamika ivo nae njaa kali tuu
="yna2, post: 31881191, member: 501669"]Naona mademu njaa wamepanic sana katika huu Uzi ,jiwe gizani
ha ha ha ukisikia ke wanahongwa nyumba/gari si kwamba hawana kazi,inategemea uzuri wake ni wa daraja gani.Yeye hawezi kujitimizia au ni dada wa nyumbani?
Hahahaha
Bado sijaona cha kunipanikisha ..ila ukweli ndio huo
Mke kumpa pesa wala sio ishu, ishu ni mpenzi kuitaka pesa as if ni obligation yangu kwake. Wadada mnatakiwa muelewe hili, unapopata mpenzi hujapata mtatuzi wa mambo yako ya kiuchumi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi kwani kuna ubaya au ajabu mwanamke kutokuwa na hela na kumuomba mpenzi au mume wake hela? Yaani wanaume mnajisahau kwamba ninyi ndo mliambiwa mle kwa jasho lenu ila wanawake hatukuambiwa hivyo
Sasa nashangaa leo hii jamii inalazimisha mwanamke naye ajitegemee halafu ndo nyie nyie mnaosema hamtaki haki sawa sasa hamtaki haki sawa halafu mnataka wapenzi wenu au wake zenu wasiwaombe hela?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kumgonga ni mke wako tu sio demu uyo si halali yakoKuhudumia mke ndo jukumu letu sio demu.
Mimi nimezungumzia utafiti wangu jinsi mabinti wa familia njaa lifestyle yao ilivyo naona wadada mnanishambulia,Mimi sina njaa kabisa