Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
AiseeHizi ndoa hapana wakuu!
Niwaase tu wale ambao hawajaoa wawachunguze sana wachumba wao kila tukio baya kipindi Cha uchumba usilichukulie poa.
Mfano:-
NB: Naomba utaratibu wa kumpa mtu talaka.
- Umegundua mchumba wako bado anawasiliana na x wake ujue hiyo hali itaendelea mpaka ndoani na wanaweza wakazaa na mtoto na ukamsomesha kabisa.
- Umeona mchumba wako ana jazba ujue ukioa/olewa nae atakuwa anajaziba Mara kumi.