Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Ndio maana pekee ya ndoa, hakunaga maana nyingine.Ndoa ni kwa ajili ya kulea watoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana pekee ya ndoa, hakunaga maana nyingine.Ndoa ni kwa ajili ya kulea watoto
Weka nondo hiyo kamanda.Nataman niweke nondo hapa but naogopa matokeo yake kwenye jamii yetu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Safi sana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ni mwendo wa kitu kizito tu, mpaka waseme
Wadada muelewe kuwa wanaume ndio tupo hivyo. Ndio maana mnatakiwa mjitunze kwa sababu wanaume wote unaowaona wanaokutazama barabara ukipita ni kwa sababu hawajakuzoea sio kwamba wewe ni mzuri na unamaajabu. Ukitaka uthibitishe hilo. Subiri ukae mwezi uone kama hiyo barabara iliyokuwa ukipita huku Watu na bodaboda wanakutazama na kupagawa kama watakutazama tena au kupagawa.Kikwava Soma huu ujumbe kwa umakini nadhani utakuwa ulikuwa na Wenge wakati unaoa
Kwa sisi wazoefu wa haya mambo. Kama unatafuta mchumba au mke ambaye utataka umuone mzuri daily basi haishauriwi umtongoze vuupuu! Utakwama! Haina tija kwako. Labda awe demu wa eat and drink then pita hivi.
Demu ukimuona first day one time, unaweza ukapagawa kwa First impression. Kama unaushamba wa hizi ishu ndio ile unasema umekutana na Pisikali kumbe ni wenge lako tuu.
Mimi huwaga ili nithibitishe kuwa huyu demu ni mkali basi itanipasa nimuone kwa siku zisizopungua saba. Yaani mpaka macho yangu yamzoee na kumchoka.
Kama yatamuona mzuri kwa kiwango kilekile au pungufu kidogo basi nitakuwa huyo Mwanamke ni mzuri.
Ukimtongoza tuu utashangaa ndio mwanzo wa kuona wa kawaida au mbovu kabisa. Hapo hujafanya naye ngono. Ukifanya naye ngono ndio uzuri unapotea wote mpaka unajilaumu. Sio ajabu ukaanza kukumbuka maneno ya rafiki zako waliokuwa wakikucheka kuhusu huyo demu.
Ni mzuri kwa sababu hujamtongoza. Mtongoze uone kama utamuona hivyo. Au kuwa na mazoea naye uone. Au fanya ngono naye uone.
Mke au wachumba za Watu unawaona ni warembo kwa sababu hiyohiyo. Lakini nakuhakikishia kuwa asilimia 90% ya unaowaona wazuri sio hivyo uwaonavyo. Kinachokufanya uwaone hivyo ni wenge lako, tamaa ya ngono hivyo yaani.
Wadada muelewe kuwa wanaume ndio tupo hivyo. Ndio maana mnatakiwa mjitunze kwa sababu wanaume wote unaowaona wanaokutazama barabara ukipita ni kwa sababu hawajakuzoea sio kwamba wewe ni mzuri na unamaajabu. Ukitaka uthibitishe hilo. Subiri ukae mwezi uone kama hiyo barabara iliyokuwa ukipita huku Watu na bodaboda wanakutazama na kupagawa kama watakutazama tena au kupagawa.
Ikiwa wewe ni mke au mchumba wa mtu usijejidanganya ati wewe ni mzuri kisa unatongozwa tongozwa, hizo ni akili za kitoto na kutotujua wanaume.
Wenge likikata kwetu wanaume ndio mnatuita Mbwa sisi wenyewe tunashangaa tulikuwa tumefuata nini. Wenge ni baya.
Ndoa nyingi zimevunjika, mahusiano mengi yameharibiwa kwa wanawake kutoelewa hii kanuni.
Unakuta kabinti kisa kanatongozwa tongozwa basi kanaleta dharau kwa mpenzi wake au mume wake. Wakiachana na mchumba au mumewe akitegemea ile idadi ya wanaume wanaomtongoza itakuwa vilevile anashangaa inapungua maradufu. Hata yule aliyekuwa anamuona anafaa kuzidi mumewe naye anakimbia.
Hakuna anayekuona mzuri zaidi ya yule aliyekuweka ndani, aliyekuoa au anayetaka kukuoa.
Sisi wengine ni Wenge tuu linatusumbua.
Siku lilikata ndio yanatokea ya kutokea. Na raha ya wenge letu haliwezi dumu kwa miezi sita mfululizo lazima likate.
Chunga sana
Umeikanyaga😀😀Mkristo
Ni kweliKama ni mkristo anaanzia kanisani, kanisani ikishindikana atapewa barua ya kwenda mahakama ya mwanzo kwa ajili ya maombi ya talaka. Wengine wanaanzia mabaraza ya kata
Namba amekaririMhmh inaonekana mke anakudharau mnoo kupita kiasi. Mnilunulie simu mpya na umsajilie lain nyingine but make sure hiyo lain ya zamani unaiharibu kabisa. Akikataa na hilo basi ujue kuna shida kubwa kuliko kawaida
Siku hizi watu wanaonana muda wote InstagramMhmh inaonekana mke anakudharau mnoo kupita kiasi. Mnilunulie simu mpya na umsajilie lain nyingine but make sure hiyo lain ya zamani unaiharibu kabisa. Akikataa na hilo basi ujue kuna shida kubwa kuliko kawaida
😂😂😂😂😂😂😂😂ewwwwwHizi ndoa hapana wakuu!
Niwaase tu wale ambao hawajaoa wawachunguze sana wachumba wao kila tukio baya kipindi Cha uchumba usilichukulie poa.
Mfano:-
NB: Naomba utaratibu wa kumpa mtu talaka.
- Umegundua mchumba wako bado anawasiliana na x wake ujue hiyo hali itaendelea mpaka ndoani na wanaweza wakazaa na mtoto na ukamsomesha kabisa.
- Umeona mchumba wako ana jazba ujue ukioa/olewa nae atakuwa anajaziba Mara kumi.
Mkate kidogo akuogope.Yani ni balaa kwakweli, wife unamwambia achana kuwasiliana na x wako, anakwambia na ww hujakatazwa kuongea na ma-x wako😭😭 unaangalia panga unalizoooom unaishia kusema Ee! Mungu niongoze🤣
Uko sahihi Kaka, Sasa hivi nina ongozwa na nguvu ya Rohoni.Kikwava Soma huu ujumbe kwa umakini nadhani utakuwa ulikuwa na Wenge wakati unaoa
Kwa sisi wazoefu wa haya mambo. Kama unatafuta mchumba au mke ambaye utataka umuone mzuri daily basi haishauriwi umtongoze vuupuu! Utakwama! Haina tija kwako. Labda awe demu wa eat and drink then pita hivi.
Demu ukimuona first day one time, unaweza ukapagawa kwa First impression. Kama unaushamba wa hizi ishu ndio ile unasema umekutana na Pisikali kumbe ni wenge lako tuu.
Mimi huwaga ili nithibitishe kuwa huyu demu ni mkali basi itanipasa nimuone kwa siku zisizopungua saba. Yaani mpaka macho yangu yamzoee na kumchoka.
Kama yatamuona mzuri kwa kiwango kilekile au pungufu kidogo basi nitakuwa huyo Mwanamke ni mzuri.
Ukimtongoza tuu utashangaa ndio mwanzo wa kuona wa kawaida au mbovu kabisa. Hapo hujafanya naye ngono. Ukifanya naye ngono ndio uzuri unapotea wote mpaka unajilaumu. Sio ajabu ukaanza kukumbuka maneno ya rafiki zako waliokuwa wakikucheka kuhusu huyo demu.
Ni mzuri kwa sababu hujamtongoza. Mtongoze uone kama utamuona hivyo. Au kuwa na mazoea naye uone. Au fanya ngono naye uone.
Mke au wachumba za Watu unawaona ni warembo kwa sababu hiyohiyo. Lakini nakuhakikishia kuwa asilimia 90% ya unaowaona wazuri sio hivyo uwaonavyo. Kinachokufanya uwaone hivyo ni wenge lako, tamaa ya ngono hivyo yaani.
Wadada muelewe kuwa wanaume ndio tupo hivyo. Ndio maana mnatakiwa mjitunze kwa sababu wanaume wote unaowaona wanaokutazama barabara ukipita ni kwa sababu hawajakuzoea sio kwamba wewe ni mzuri na unamaajabu. Ukitaka uthibitishe hilo. Subiri ukae mwezi uone kama hiyo barabara iliyokuwa ukipita huku Watu na bodaboda wanakutazama na kupagawa kama watakutazama tena au kupagawa.
Ikiwa wewe ni mke au mchumba wa mtu usijejidanganya ati wewe ni mzuri kisa unatongozwa tongozwa, hizo ni akili za kitoto na kutotujua wanaume.
Wenge likikata kwetu wanaume ndio mnatuita Mbwa sisi wenyewe tunashangaa tulikuwa tumefuata nini. Wenge ni baya.
Ndoa nyingi zimevunjika, mahusiano mengi yameharibiwa kwa wanawake kutoelewa hii kanuni.
Unakuta kabinti kisa kanatongozwa tongozwa basi kanaleta dharau kwa mpenzi wake au mume wake. Wakiachana na mchumba au mumewe akitegemea ile idadi ya wanaume wanaomtongoza itakuwa vilevile anashangaa inapungua maradufu. Hata yule aliyekuwa anamuona anafaa kuzidi mumewe naye anakimbia.
Hakuna anayekuona mzuri zaidi ya yule aliyekuweka ndani, aliyekuoa au anayetaka kukuoa.
Sisi wengine ni Wenge tuu linatusumbua.
Siku lilikata ndio yanatokea ya kutokea. Na raha ya wenge letu haliwezi dumu kwa miezi sita mfululizo lazima likate.
Chunga sana
Ni vizuri yaani ukiwa na Wenge na Wanawake utapoteana mazima 😂😂😂Uko sahihi Kaka, Sasa hivi nina ongozwa na nguvu ya Rohoni.
Sasa hivi sioni maajabu ya kuwa obsessed na mtu.
Kuna madem wakali jirani na ninapo kaa, yaani Kama sowaonagi😆😄.Ni vizuri yaani ukiwa na Wenge na Wanawake utapoteana mazima 😂😂😂
Una Sifa za mwanamume kamili, wapo desperate sana hawa Mademu 😅Kuna madem wakali jirani na ninapo kaa, yaani Kama sowaonagi😆😄.
Juzi naambiwa Eti why sipigi story nao, Nika waambia soon 😂