Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

Kifupi kama sio bikira ni red flag tosha kwamba umeoa malaya

Muda wowote bomu linakuripukia
Bikira sio sababu mtu kuwa mke mzuri au mbaya, na mara nyingi vinavyoua ndoa sio umalaya, tunajua cheating nyingi zinaanza kama kuna matatizo tayari, umalaya ukianza especially mwanamke ni kama tayari anajua ndoa imeisha
 
Yani ni balaa kwakweli, wife unamwambia achana kuwasiliana na x wako, anakwambia na ww hujakatazwa kuongea na ma-x wako😭😭 unaangalia panga unalizoooom unaishia kusema Ee! Mungu niongoze🤣
Mpe talaka haraka huyo, utakuja kuishia gerezani. Huna mke hapo.
 
Back
Top Bottom