Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

Team KATAA NDOA TUNAZIDI KUPATA POINTS ZETU ZA USHINDI.

KATAA NDOA .
 
Hizi ndoa hapana wakuu!

Niwaase tu wale ambao hawajaoa wawachunguze sana wachumba wao kila tukio baya kipindi Cha uchumba usilichukulie poa.

Mfano:-
  • Umegundua mchumba wako bado anawasiliana na x wake ujue hiyo hali itaendelea mpaka ndoani na wanaweza wakazaa na mtoto na ukamsomesha kabisa.
  • Umeona mchumba wako ana jazba ujue ukioa/olewa nae atakuwa anajaziba Mara kumi.
NB: Naomba utaratibu wa kumpa mtu talaka.
Kabla ya kuoa hukupewa ABC mkuu,au ndio wale mnaosema utambadilisha akishakuwa wa kwako...
 
Hauna wazazi, wajomba, kaka, watu wa makamo huko kwenu, labda ka unataka comments na likes ndo utazpata apa
 
Umenisanua mkuu, nilikuwa na demu nataka nimtolee barua April lakini nimesogeza mbele, mwanamke jeuri, ana kila aina ya tamaa ktk maisha, sifa za udangaji huko nyuma mtaa mzima unamfahamu.

Nikaona isiwe kesi, acha nighairishe nisogeze mbele na ikiwezekana niachane nae kabisa.
Hilo ni bomu, acha kabisa
 
Nenda Baraza la Usuluhishi la Maswala ya ndoa kwanza, wamuite mwenza wako wawasuluhishe, ikishindikana ndio upele kesi Mahakamani. Sheria inataka uanzie Barazani kwanza isipokuwa kama mwenza wako hapatikani au hataki kwenda, Baraza litawaandalia barua ambayo utaiambatanisha ukipeleka kesi Mahakamani.

Mabaraza yapo kwenye kila Kata, lakini pia yapo Makanisani na Misikitini.

Karibu tukuhudumie mkuu.
Hapo kwenye hayo mabaraza ndio Siri zenu zinajulikana, kama mke anapigwa nje Kila mtu atajua kwa jinsi watu walivyo wambea, shida tupu
 
Hizi ndoa hapana wakuu!

Niwaase tu wale ambao hawajaoa wawachunguze sana wachumba wao kila tukio baya kipindi Cha uchumba usilichukulie poa.

Mfano:-
  • Umegundua mchumba wako bado anawasiliana na x wake ujue hiyo hali itaendelea mpaka ndoani na wanaweza wakazaa na mtoto na ukamsomesha kabisa.
  • Umeona mchumba wako ana jazba ujue ukioa/olewa nae atakuwa anajaziba Mara kumi.
NB: Naomba utaratibu wa kumpa mtu talaka.
umpe taraka mkeo ubaki singo ule watoto wetu wa sekondari!
Ova tukikukamata
 
Mkuu nakushauri mroge yaani mpe dawa atatulia, atakuheshimu, atakutii na atakusikiliza. Najua comment hii watu wanaojifanya wasomi wasioamini mila z kiafirika watapuuza lkn ukweli ndio huo!! Zamani babu zetu ndio walikuwa wakiwawahi wake zao kuwatoa wenge, ila vijana wa sasa wanawahiwa na wake zao.
Nyokooooi
 
Ndoa ikikushinda mnakaa chini na kuacha kwa amani tu sio mpaka mnalazimishwa kukaaa hivyo hivyo kuvumiliana mpaka mpigane visu ndio ndoa iwe mwisho.
 
Hizi ndoa hapana wakuu!

Niwaase tu wale ambao hawajaoa wawachunguze sana wachumba wao kila tukio baya kipindi Cha uchumba usilichukulie poa.

Mfano:-
  • Umegundua mchumba wako bado anawasiliana na x wake ujue hiyo hali itaendelea mpaka ndoani na wanaweza wakazaa na mtoto na ukamsomesha kabisa.
  • Umeona mchumba wako ana jazba ujue ukioa/olewa nae atakuwa anajaziba Mara kumi.
NB: Naomba utaratibu wa kumpa mtu talaka.
Nina kama wiki hivi nitoka kutoa red card kwa wife...nao kawa x-wife
 
Back
Top Bottom