Duuh aisee, ni mie pale makondeko aisee.We shauri yako
Mwenzako amejikuta kwenye kituo cha daladala hajui anaenda wwpii.
We kaka najua kwa ulivyo lazima Jamii forum hukosi me ndo Yule nlokuwa nimebeba bag la mgongoni nimeshika na bahasha za chips paleee ma..... Ko...... E
Kamtamani sana mume wa mtu sio kwa misifa ile aliyompa, jamaa angemtongoza angepewa mbususuKama unafurahia vile migogoro ya wanandoa ehh
Enheeee hiki ndicho nilichokiwaza wakati nausoma uzi sasa ukazubaa tena mi ningejisogeza hata kumpa pole tuYaaanii nlitaman kumshika shati arudi kwanza nipate namba niwe namfariji kipindi hiki kigumuu 🤣🤣🤣
Haha acha waoane bwanaHuwa namuonea huruma sana mtu anayeingia kwenye ndoa, nikienda kwenye sherehe ya harusi nawaangalia wanavyo cheza wanavyo furahi na kushangilia na kushangiliwa na kupongezwa ila nawaonea huruma mno.
ndio mimi hapa nimekujaYaaanii nlitaman kumshika shati arudi kwanza nipate namba niwe namfariji kipindi hiki kigumuu 🤣🤣🤣
Yani nimetamani kumuona tatizo maji ya kunde tuKamtamani sana mume wa mtu sio kwa misifa ile aliyompa, jamaa angemtongoza angepewa mbususu
Adui ya mwanamke ni mwanamke
kuna baridi kali sana huku, ata sijielewi elewiEnheeee hiki ndicho nilichokiwaza wakati nausoma uzi sasa ukazubaa tena mi ningejisogeza hata kumpa pole tu
usingemuacha hebu katoe taarifa kituo chochote cha police kilicho karibu nawe 😂Haha ashaondoka hapa mshkaj wake nahisi amemuokoa baada ya kuambiwa msela hajui anakoenda
Kumbe ni wewe mchuchu..chukua bodaboda njoo Eat your money lounge, nagonga moya moya🍺We shauri yako
Mwenzako amejikuta kwenye kituo cha daladala hajui anaenda wwpii.
We kaka najua kwa ulivyo lazima Jamii forum hukosi me ndo Yule nlokuwa nimebeba bag la mgongoni nimeshika na bahasha za chips paleee ma..... Ko...... E
Hahahaa halafu nyinyi wanawake mnaoneana wivu hakunaga mahali stori za wanawake zinanoga kama wakisikia mwenzao kaachika tena itokee mwamba ana kibundaYani nimetamani kumuona tatizo maji ya kunde tu
Dawa ya mwanamke ni mwanamke
Wewe tena ulivyo fisi maji😅😅kuna baridi kali sana huku, ata sijielewi elewi
Wakizaa watatulia tuSio ww bana Yule mda huu hawez chat anaendesha kesii.
Mshkaj mda huu anampigia Shem wake why anamzingua homeboy