Hizi ndoa zitakuja kuua watu… dah!

Wengi wanarudi home late kwa sababu hizi, wake zao ni toxic ndani ya nyumba. Mdomo mwingi, hawana staha, so unakuta mume anatafuta hobbies zingine baada ya kazi ili arudi home late.
Ila ikifikia hii hali ya kuikimbia nyumba sababu ya kero zilizozidi za mwenza ni vyema kupata break kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…