Hizi ndoa zitakuja kuua watu… dah!

Hizi ndoa zitakuja kuua watu… dah!

Hakuna ndoa inayokosa ups and downs, ukiijua ndoa vizuri utaona ni mambo ya kawaida tu. Mwamba anatakiwa kujua namna ya kudeal na issue za familia yake, huyo mshkaji wake hana la kumsaidia.

Marriages are very tricky, tumia tu akili kudeal na mkeo.
 
Niko hapa kituo flan cha daladala
Basi pembeni yangu Amekaa mkaka nadhifu sanaaa anaonekana mwenye sura ya HeLa na hata hapo kituoni sijui hata anafanya nini.... Ila anaonekana mwenye stress Sana hadi anaongea kama mtu anayekaribia kutoa machozi.
Kaka huyu mrefu maji ya kunde nzuri, mwenye sura na maongezi ya upolee yuko busy anaongea na simu....
Anaonekana anaongea na mshkaj wake anamuelezea Mambo ya familia yake.... Yaani anasema hapo alipo hajui hata anaenda wapii Ila hawezi Kurudi nyumbani kwa Yule mwanamke maana anaweza kumpasua akamuua akapata kesii. Bora akae kituo cha daladala.
Badae nkamsikia anasema ".....basi ngoja nichukue daladala nikufwate Nije huko Mara Mia ....". Akadandia daladala huyooooo akatokomea na gari ya bunju.

Sasa jamani mnaishi na Simba ndani kwamba Bora ukae kituo cha daladala kuliko nyumba ambayo mkeo mpendwa uliyemlipia mahari huenda kubwa anaishi?? Ilikuwaje ukamuoa mtu wa hivi? Ni mhemko au?
A see ndoa zimegeuka ndoano kwa wengi Ila ishini humo Hadi mfe tuwazike.
Asanten.


Mwenye Sura ya hela unakutana nae kwenye daladala? Yaani wewe umepotea njia
 
Yule hata wakat anaongea na mshkaji it is like gar ameacha home wakat ametoka hakujua hata anaenda wapii. Nakwambia Yule kaka sio wa kushika bomba


Acha zako, si angechukua hata bolt, sura ya hela hakuna kwenye daladala, wewe utakuwa umeona sura ya mkaka katoka saloon tu
 
We shauri yako
Mwenzako amejikuta kwenye kituo cha daladala hajui anaenda wwpii.
We kaka najua kwa ulivyo lazima Jamii forum hukosi me ndo Yule nlokuwa nimebeba bag la mgongoni nimeshika na bahasha za chips paleee ma..... Ko...... E
Mbona kama inaonekana huyu mkaka ulivutiwa nae
 
Back
Top Bottom