MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
- Thread starter
- #21
October 29 haikuwa ajaliVipi ya mo29 haiku kuachia kumbukumbu?
October 29 haikuwa ajaliVipi ya mo29 haiku kuachia kumbukumbu?
Huu uzi unazungumzia ajali. Una akili timamu?1.Kifo cha Magufuli….ingawa sikuwa mfuasi wake but nilipatwa na Simanzi
2.Oktoba 29 2025…..
Msagali,,,DodomaNikisikia au kuona neno ajali nakumbuka Treni Dodoma 2002. Damu zilichuruzika kutoka kwenye mabehewa na kutiririka kama maji mtaroni.
Ilachinja chinjaOctober 29 haikuwa ajali
Hii haikuwa ajali,ni mpangoVipi ya mo29 haiku kuachia kumbukumbu?