Kenya na sisi tuna CRDB bankKCB
Equity bank
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya na sisi tuna CRDB bankKCB
Equity bank
mkoa wa tanga zimejaa hizo aerialIla sabuni za unga za aerial zilikuwa na harufu nzuri sana, siku hizi hazionekani yamekuja masabuni mabaya kweli
Kenyatta familyBrookside
OG ya hii kitu sio mchezo, wabongo waliopo ng'ambo huko wana miss sana hii kitu.Labda Bapa
View attachment 3084519
Yah japo nilikuwa nadhani aerial ni product inatoka Moja kwa moja UkNa kabla ya Omo kulikuwa na aerial, ni sabuni ambazo watumiaji wake angalau wana uwezo kiuchumi
nafikiri alilenga vaselineBabycare ni products za Tanzania zinatengenezwa hapo Tanga TPPL
Halafu kuna mtu anakwambia tz imeendelea kuliko kenya.kumbe vilikuwa vnatokea kenya.
Yeah Vaseline ni Unilever wana branch Kenya makao makuu ni the Nerthelandsnafikiri alilenga vaseline
Tuzo Milk.. Brookside ya Kenyatta wakaja kuwanunuaKimbo
NIdo
Brooklyne milk
Unilever kampuni ya UK hiiYeah Vaseline ni Unilever wana branch Kenya makao makuu ni the Nerthelands
BROOKSIDE MILKKimbo
NIdo
Brooklyne milk
Mwanzo zilikuwa zinaitwa Kenafric hizi nadhani ukila lazima ukohoe kwanza jinsi zilivyo kaliView attachment 3084541
Pipi kifua
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🍻Tusker Lager
Ariel is a British brand of laundry detergent owned by Procter & Gamble and developed by the European Technology Centre in Belgium.Ila sabuni za unga za aerial zilikuwa na harufu nzuri sana, siku hizi hazionekani yamekuja masabuni mabaya kweli