Hizi ni dawa za nini na zinatibu nini?

Mpaka umuonee huruma, wewe unaijua kesho yako ? Siyo kila aliyepata huu ugonjwa alipata kwa ngono hapana...alafu acha tabia ya kuchunguza chunguza vitu vya watu
Baada ya kujua kwamba sijazikuta kwa dem sasa ndyo umekuja na povu lote hilo 😂😂😂,,,,,, wajinga ni wengi 🙌
 
Mjomba utake usitake umeukwaa, kitendo cha kuuliza tuu, tayari ushawekwa gridi ya taifa.
Mimi nilijua tu na hiyo ni mbinu ya kuchangamsha jukwaa, ila kiukweli huyu mtu kanishtua sana maana sikudhania kabisa kwamba anaweza akaugua gonjwa hili.
Na ushahidi wa picha tunao.
Kweli picha nimepiga mimi na ni usiku wa leo
 
Pole broo ni Hali ya kawaida,najua uchaguzi mwaka huu mwez wa10 hutakuwepo,RIP😭😭😭
 
Tunataka mkopo wa pesa.
Kama upo nipige simu sasahv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…