kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 1,161
- 2,202
- Thread starter
-
- #101
Afadhali nimejua kwani ni muhimu kujua hasa kwa mtu niliye karibu, hata yeye alipaswa kuniambia ila akaficha.Sawa, sio kwamba nakushambulia ila nakukumbusha tu kuwa kutoheshimu privacy ya mtu kutakupa utumwa maana itakupelekea kuwa mnafiki kwenye baadhi ya mambo mkizungumza since unajua jambo ambalo yeye alilificha kwako ila umelipekua ukalijua na sasa inakubidi ujifanye hujui.
Yawezekana labda sio vyake, ila mimi nilitaka kujua tu ni vidonge gani hivyo kwa nia ya kiusalama zaidi.NB: Na unaweza kuta wala si zake, kuna scenario tu imesababisha akawa nazo.
Mkuu, we kubali tu kuwa curiosity imekupa kiherehere, ni ubinadamu huwa inatokea.Afadhali nimejua kwani ni muhimu kujua hasa kwa mtu mliye karibu, hata yeye alipaswa kuniambia ila akaficha.
Yawezekana labda sio vyake, ila mimi nilitaka kujua tu ni vidonge gani hivyo kwa nia ya kiusalama zaidi.
Mkuu hakuna unachojua katika hili bali una guess tu kwamba ni mtu mzima au mtoto, mimi afadhali nimejua kwa sababu ninazo zijua binafsi.Mkuu, we kubali tu kuwa curiosity imekupa kiherehere, ni ubinadamu huwa inatokea.
Unless ni mtoto mdogo ndo hoja ya usalama wake itakuwa sahihi ila kama ni mtu mzima hakuna ukaribu usio na mipaka ni vile tu curiosity imekupa kiherehere.
Hii Kaka ni dawa yenye kombinesheni ya dawa 3 yaani TDF+3TC+DTG Wengine huita TLD ama ARV lakini uwepo wa mchanganyiko wa dawa zote hizo basi huweza kutibu Hepatitis B na pia Hutumika kuzuia maambukizi ya HIV ndan ya 72 hrs baada ya kutokea tukio lolote linaloweza kukuambukiza UKIMWI. Cha mwisho kabisa hii ndio dawa maarufu kwenye first line za TLD kutumika kufubuza Maambukizi ya ukimwi. So kabla hujaamua lolote akilini mwako soma na muulize mtu wako 🙏🙏Nimemkuta nazo mtu na sijawahi kuziona kabla, naomba mnijuze hizi ni dawa gani?
View attachment 3297123
Mmh miezi tisaa?? Watu wa afya hapa kuna ukweli wowote?Unaweza ukala mwenye ukimwi na usiupate mkuu nimeishi na mwenye ngoma miezi Tisa bila kujua na mpaka Leo nipo sawa tu huu mwaka wa nne mkuu
Umezikuta kwa nani?Mkuu ungeuliza Kwanza nimezikuta kwa nani
Alikuwa anatumia Arvs?Unaweza ukala mwenye ukimwi na usiupate mkuu nimeishi na mwenye ngoma miezi Tisa bila kujua na mpaka Leo nipo sawa tu huu mwaka wa nne mkuu
Mbona husemi umezikuta Kwa Nani? Unajizingusha tuTatzo watu mnakariri, mimi sijasema nimezikuta kwa dem wangu
Yaani unasimu ya shilingi laki nane unashindwa kupata jibu mpaka uje kwetu! Bora ungenunua kitochi tu.Nimemkuta nazo mtu na sijawahi kuziona kabla, naomba mnijuze hizi ni dawa gani?
View attachment 3297123
Nimemlilia mpaka basi japo sijawahi kumuona.Mkuu hapo umeisha! Kapime na ukikuta uko vizuri okoka na ukamtolee Mungu sadaka.
Hazitamsaidia, labda aziriwaindi siku zirudi nyuma arudi shule ya msingi Mzimuni.Vaa condom 3 kwa pamoja broh
Anaweza, ameweka hapa ili kuleta mjadala, Ni jambo jema kwa hapa JF, wengi wanaelimika.Mkuu unashindwa kusearch hzo dawa mtandaoni kweli?
Hahaha, ok boss, Kama ndivyo mnavyoishi na mtu wako wa karibu kwa kupekuana pekuana kwa sababu za kiusalama ni kweli nina kiherehere otherwise wewe ndo mwenye tatizo la kutoheshimu privacy ya mtu wako wa karibu maana ulisema mwenyewe alizificha meaning ni suala lake binafsi si lako la kupekua.Mkuu hakuna unachojua katika hili bali una guess tu kwamba ni mtu mzima au mtoto, mimi afadhali nimejua kwa sababu ninazo zijua binafsi.
Itoshe kusema kwamba pia hakuna unachojua zaidi ya kiherehere tu cha kutaka kujua kwamba nina privacy na huyo mtu ama sina.