Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

Hujui ulisemalo ila pole pole maji na mafuta vitajitenga.
Kwamba Muhammad baada ya kubanwa pangoni hakumsimulia icho kisa mke wake na mke wake kumwambia uliyekutana nae ni Gibril kitu amvacho Muhammad alikua hajui? Huo nao uongo?
 
Bro naomba nikujibu hapa.....

Bismillah!!
Naomba nijibu utata kuhusu nani ni adui wa jibril... Quran 2: 98
"Aliyekuwa adui wa Mwenyezi Mungu na malaika wake, na mitume wake na jibril na mikail basi hakika Mwenyezi Mungu ni adui wa makafiri"

👆👆👆👆 Hapo tumepata jibu kumbe adui wa jibril ni yoyote aliye kinyume na Mungu (kafiri)

Haya utata wako unaibuka hapa.... Iweje kafiri atumike kuitelemsha Quran katika kifua cha mtume kwa idhini ya Allah??

Ni kwamba hapo adui wa jibril ni Israeli baada ya kuwaua mitume na kuwakataa na kubadiri maandiko ya Mwenyez Mungu na kufanya machafu mbele za Mungu..... Ikawa ni sababu ya Mungu kuteremsha Quran kwa mtume
Enzi na enz Mwenyezi Mungu huwa hatoi adhabu bila kumleta muonyaji (mtume)

Kwahyo Israel kuasi kwao kuliwafanya wawe maadui wa Mungu na Jibril... Kwakuwa wao ndo walikuwa n kitabu (taurat) na wamekisoma ila wakapindisha mafundisho yake, wakawa ni sababu ya Allah kushusha kitabu kingine kwenye kichua cha Mtume
(Wao baada ya kuasi waligeuka sababu au kichocheo cha Quran kushuka)
Asante🤝
Haya maelezo yamefafanuliwa kwenye kuluwani toleo la ngapi au kitabu kipi maana ninachoona huu ni utashi wako wewe
 
Nilidhani unatafuta maarifa kumbe mwenzangu unatafuta ushindi...... Hyo ego ikikutoka ndipo utafunguka macho!!

Pia ushauri wa bure... Kwenye Quran Kuna aya zimejitosheleza kimaana na zingine zinabebana zaidi ya moja ili kukamilisha maana,

Kwahy tuendelee kutafuta maarifa na sio ushindi🚶
 
Hakuna cha maarifa wala nini huwezi kutete kitu ambacho kinajipinga
Wewe hayo maelezo umeyajaza mwenyewe na sio kutoka kwenye kuluwani
 
Umegusa HOJA nyeti sana MUNGU WA MAJESHI anatisha na akisema niogopeni anamaanisha He is GOD OF DEATH , MERCY , WAR etc kwa kukusaidia pitia hiki kitabu
 
Attachments

Onyesha huo ufix hapa nami nikuonyeshe ufix wa bible.kaa ukijua Uislamu kama jinsia ni dini yenye maumbile ya Kiume,Ukristo ni dini iliyokaa kikikekike,Uyahudi ni kama wenye jinsia moja.
Hiyo alama (?) , uliiona? au? , angalia mada ili anzia wapi
 
Inahusiana nini na vifungu nilivyonukuu kwenye Biblia huko juu?
Hapo ndio mwanzo wa uongo ktk bibilia na ni uthibitisho kuwa bibilia siyo kitabu cha Mungu bali ni utashi wa Paulo
 
Nikusahihishe kidogo,Mungu na shetani hawakukubaliana kwenda kumjaribu ayub,ni shetani alikubaliwa akamjaribu.Nafikir unaelewa tofauti ya kukubaliana na kukubaliwa

Kingine usisome biblia kwa kutumia akili za kidemokrasia,Mungu hana demokrasia.
Ndio maana tunasema yeye ni mkamilifu,maana yake kila anachofanya ni sahihi.
Na hapo ndipo mnapo ingizana mkenge kila siku, munaibiwa, mnaegemea kichaka cha
"roho mtakatifu " ili uilewe bibilia na waumini wenu wana tii, kisha kidume kina sema leo na Fufua mtu, roho mtakatifu amenishukia, thubutu , hayo yaliwezeka enzi za mitume tu, na atakaye weza kufanya hivo ni
"masih dajjal" Allah (s.w) atuepushe nae maana huyo kiumbe ni zaidi ya danger, na ndio itakuwa dunia inaenda ukingoni kabisa, sasa ndio Allah (s.w) anamleta Issa(a.s) kuja ku complete mission
 
Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi;

1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina maana uumbaji ulifanywa nae kwa kushirikiana na wengine? Hakuwa peke yake? Hao wengine kina nani?

2. Mwanzo 6 - 10 kuna stori maarufu ya Nuhu. Hii ni stori ina ukakasi zaidi. Nikiandika maswali yote niliyojiuliza uzi utakuwa mrefu. Ninashauri mkaisome ili tuifungulie uzi wake.

3. Kutoka 11:5-6 kuna maandiko yanayosema kuwa wazaliwa wa kwanza wote wa wamisri kwa upande wa binadamu hadi wanyama watauwawa na Mungu mwenyewe ili waisraeli wapewe ruhusa ya kwenda nchi ya ahadi. Kiukweli haya yalikuwa ni mauaji ya halaiki kwa wasio na hatia. Unaambiwa hadi mzaliwa wa kwanza wa mbuzi, kuku, ng'ombe, mbwa na farasi waliuwawa. Kwanini isingetumika njia nyingine hao waisraeli wakaondoka?

4. Kitabu kizima cha Joshua kimejaa stori za mauaji matupu. Ikumbukwe Joshua alichukua nafasi ya Musa kwenye kuwaingiza waisraeli nchi ya ahadi baada ya kifo cha Musa. Nchi waliyoahidiwa ilikuwa tayari ina wakazi wake ambao ilibidi wauwawe wote ili kuwapisha waisraeli. Hivi ilishindikana vipi kufanya kama alivyofanya Mama Samia kuwatoa wamasai Ngorongoro na kuwapeleka Msomera kwa amani kabisa bila kumwaga damu? Kama leo 2024 bado kuna maeneo duniani hayajakaliwa na binadamu ilikuwaje enzi za Joshua? Ukisoma kitabu cha Joshua utaona kila sehemu waliyopita walikuwa wakiua wenyeji watakaowakuta. Kulikuwa na sababu zipi za msingi za mauaji haya yote?

5. Ayubu 1:6-12 utaona stori ya shetani alipojiunga na wana wa Mungu kupita mbele ya Mungu kumwabudu hadi Mungu akashangaa imekuwaje shetani akawa eneo lile? Baada ya hapo Mungu na Shetani wakakubaliana kwenda kumjaribu Ayubu kwa sharti la kutogusa mwili wa ajabu (kumuua). Katika yale majaribu watoto wa Ayubu waliuwawa na shetani. Naweza kusema ni mauaji yaliyokuwa na approval toka juu. Ilikuwa kazi maalum. Je, sio kwamba wawili hawa hukutana na kukubaliana baadhi ya mambo? Sio kwamba kuna kazi za shetani zina kibali maalum?
Kwanza niombe Mungu akusaidie kuelewa neno lake.Pili Biblia sio kitabu cha dini ni kitabu cha kifalme kinachotumiwa na dini toka mwanzo mpaka mwisho kinazungumzia habari za Mamlaka(dominion) au kingdom

Mungu alimuumba akiongea na nafsi yake (tumfanye mwanadamu kwa mfano wetu) hakuumba akiwa na wengi.

Umezungumzia mauaji yaliyofanywa na Mungu.Kumbuka pia maandiko yanasema dunia na vyoote viijazavyo nivya Mungu,kwa namna ya kawaida mtu kuchukua chake sio kosa haijalishi ni kwa namna gani? Pia ujifunze kutofautisha kosa na dhambi ni vitu viwili tofauti
 
Wewe huna tofauti na wale waliochomwa moto na kibwetere. Hutaki kabisa kutumia ubongo wako.
 
Na hapo ndipo mnapo ingizana mkenge kila siku, munaibiwa, mnaegemea kichaka cha
"roho mtakatifu " ili uilewe bibilia na waumini wenu wana tii, kisha kidume kina sema leo na Fufua mtu, roho mtakatifu amenishukia, thubutu , hayo yaliwezeka enzi za mitume tu, na atakaye weza kufanya hivo ni
"masih dajjal" Allah (s.w) atuepushe nae maana huyo kiumbe ni zaidi ya danger, na ndio itakuwa dunia inaenda ukingoni kabisa, sasa ndio Allah (s.w) anamleta Issa(a.s) kuja ku complete mission
Tatizo umeingiza mihemko........
Uko busy kupambania dini,unakataa wanachokiamini wenzako halafu unataka tuamini imani zako😂😂😂😂😂
Unajua nini maana ya neno imani?
Kwa jini uepushwe naye kama yeye ndio kamleta?
Wenzako wanasema issa alishakuja na wewe unasema ataletwa???unamaanisha nn yan
 
Mauaji ya halaiki makubwa zaidi yanakuja siku za mwisho kwa kuchomwa moto na Mungu mwenyewe, kwa dhambi ambazo yeye mwenyewe ametuumba na akili mbovu.
 
Tatizo umeingiza mihemko........
Uko busy kupambania dini,unakataa wanachokiamini wenzako halafu unataka tuamini imani zako😂😂😂😂😂
Unajua nini maana ya neno imani?
Kwa jini uepushwe naye kama yeye ndio kamleta?
Wenzako wanasema issa alishakuja na wewe unasema ataletwa???unamaanisha nn yan
Skia mkuu, kila tuki watetea msiangamie kwa kukosa maarifa ila bado wakaidi, huku bongo kiboko ya wachawi, Kenya Mackenzie kule Uganda kibwetere bado tu, alafu usicho kijua mimi sipo bize na Nikiwa bize na dini basi ni sehemu ya maisha yangu, mimi natoa Fact from bibilia na current issues, ndio nikasema kichaka cha roho mtakatifu Eti ndio uielewe bibilia kina fyekwa na 3:15 wagalatia, alafu una uuliza kuhusu uislamu uliza Kwa nidhamu, na hao wenzangu ni kina nani?
 
Asali inapatikana katikati ya nyuki,hata biashara nzuri ni yenye changamoto nyingi.changamoto zinafanya wengine washindwe kuifanya na wewe ukiijua siri ya kuifanya unapiga faida nyingi maana unakua uoo peke yako ulingoni.
So hao unaoona wewe wanaongopea wapo maana ni mkakati wa ibilisi kuua Ukristo wa kweli kwa kuleta manabii wa uongo.
So huwezi sema ukristo ni uongo sababu ya makenz au kiboko ya wachawi,walikuwepo tangu zaman na wataendelea kuwepo ila mwenye akili anajua nini cha kufanya.

Yesu aliagiza enendeni ulimwenguni kote mkawafanye watu kuwa wanafunzi wangu,sasa kama wewe umeamua kua mwanafunzi wa makenzi au kiboko ya wachawi ni maamuzi yako ila sio maagizo ya Mungu.
 
Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi;

1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina maana uumbaji ulifanywa nae kwa kushirikiana na wengine? Hakuwa peke yake? Hao wengine kina nani?

2. Mwanzo 6 - 10 kuna stori maarufu ya Nuhu. Hii ni stori ina ukakasi zaidi. Nikiandika maswali yote niliyojiuliza uzi utakuwa mrefu. Ninashauri mkaisome ili tuifungulie uzi wake.

3. Kutoka 11:5-6 kuna maandiko yanayosema kuwa wazaliwa wa kwanza wote wa wamisri kwa upande wa binadamu hadi wanyama watauwawa na Mungu mwenyewe ili waisraeli wapewe ruhusa ya kwenda nchi ya ahadi. Kiukweli haya yalikuwa ni mauaji ya halaiki kwa wasio na hatia. Unaambiwa hadi mzaliwa wa kwanza wa mbuzi, kuku, ng'ombe, mbwa na farasi waliuwawa. Kwanini isingetumika njia nyingine hao waisraeli wakaondoka?

4. Kitabu kizima cha Joshua kimejaa stori za mauaji matupu. Ikumbukwe Joshua alichukua nafasi ya Musa kwenye kuwaingiza waisraeli nchi ya ahadi baada ya kifo cha Musa. Nchi waliyoahidiwa ilikuwa tayari ina wakazi wake ambao ilibidi wauwawe wote ili kuwapisha waisraeli. Hivi ilishindikana vipi kufanya kama alivyofanya Mama Samia kuwatoa wamasai Ngorongoro na kuwapeleka Msomera kwa amani kabisa bila kumwaga damu? Kama leo 2024 bado kuna maeneo duniani hayajakaliwa na binadamu ilikuwaje enzi za Joshua? Ukisoma kitabu cha Joshua utaona kila sehemu waliyopita walikuwa wakiua wenyeji watakaowakuta. Kulikuwa na sababu zipi za msingi za mauaji haya yote?

5. Ayubu 1:6-12 utaona stori ya shetani alipojiunga na wana wa Mungu kupita mbele ya Mungu kumwabudu hadi Mungu akashangaa imekuwaje shetani akawa eneo lile? Baada ya hapo Mungu na Shetani wakakubaliana kwenda kumjaribu Ayubu kwa sharti la kutogusa mwili wa ajabu (kumuua). Katika yale majaribu watoto wa Ayubu waliuwawa na shetani. Naweza kusema ni mauaji yaliyokuwa na approval toka juu. Ilikuwa kazi maalum. Je, sio kwamba wawili hawa hukutana na kukubaliana baadhi ya mambo? Sio kwamba kuna kazi za shetani zina kibali maalum?

Kwenye Bible sio kila kitu kilichoandikwa ni chako au kinakuhusu

Ndio maana ulokole ni mgumu because wanafata maagizo yote ya biblia wakati maagizo mengine yalikuwa specific Kwa watu flan tu

So wewe unaposoma zingatia unachosoma ni Kwa ajili ya dunia mzima au Kwa ajili ya watu flan Tu?

Kuna watu walitakiwa kuambiwa jehanam kuna Moto

Kuna watu walitakiwa kuambiwa jehanam kuna Nge wakali

So ndugu yangu so kinacho kuhusu
 
Back
Top Bottom