Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

Huajaeleweka
 
Mungu hayupo, hizo ni stories za watu tu za kuungaunga.

Ndiyo maana ukakasi mwingi.
Kama Mungu hayupo basi ka lale na mamayo, vinginevyo Mungu yupo, hiyo sayansi haijui lolote kuhusu mwamke ispokua ni mzalishaji, sasa kamzalishe mama yako, Mark My words, only Mungu tu kamzungumzia mama kwa hadhi ya juu siyo hyo sayansi yako ya kijinga
 
Unahakika gani kuwa shetani ni adui wa jibril mkuu?
 
1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina maana uumbaji ulifanywa nae kwa kushirikiana na wengine? Hakuwa peke yake? Hao wengine kina nani?

Ukisoma Yohana 1: 1 - 18

Utaona inatoa majibu ya kwamba wakati wa uumbaji wa ulimwengu na vitu vyake, utaona ulimwengu ulifanywa na Mungu baba na mwana, huyu mwana katajwa kama Nuru au Neno aliyekuja kufanyika mwili (Yesu Kristo)...
 
Mungu na Shetani ni marafiki wazuri sana na wanaelewana. Sisi wanandamu
 
Unahakika gani kuwa shetani ni adui wa jibril mkuu?
Nipe uhakika juu ya adui wa Jibril, ni nani hasa adui wa Jibril?
Jibril ni malaika mwema, je malaika mwema anaweza kuwa na uaudui na malaika mwema mwenzie? Au wewe tuambie ni nani adui wa Jibril pengine sisi tumekurupuka kuthibitisha kuwa ni shetani
 
Nipe uhakika juu ya adui wa Jibril, ni nani hasa adui wa Jibril?
Jibril ni malaika mwema, je malaika mwema anaweza kuwa na uaudui na malaika mwema mwenzie? Au wewe tuambie ni nani adui wa Jibril pengine sisi tumekurupuka kuthibitisha kuwa ni shetani
Mimi siwezi thibitisha huo uadui maana wote shetani na jibril sina hakika nao as well. Nilikuwa nakuuliza wewe uliyekuwa unaongelea huo uadui mkuu labda unaweza kunisaidia katika hilo
 

Mungu ndiye atoaye na kuuchukua uhai wa mwanadamu...

Ayubu 1
21 akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile; Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana na libarikiwe.

Zaidi Biblia inaonesha kwamba kizazi hubeba dhambi za baba zao (watawala ni baba wa taifa)...

Maombolezo 5
7 Baba zetu walitenda dhambi hata hawako; Na sisi tumeyachukua maovu yao.

Hesabu 14
18 Bwana ni mpole wa hasira, mwingi wa rehema, mwenye kusamehe uovu na makosa, naye hatamfanya mwenye hatia kuwa hana makosa kwa njia yo yote; mwenye kuwapatiliza wana kwa uovu wa baba zao, katika kizazi cha tatu na cha nne.

Ezekieli 7
8 Basi hivi karibu nitamwaga ghadhabu yangu juu yako, nitazitimiza hasira zangu juu yako, nami nitakuhukumu sawasawa na njia zako; nami nitakupatiliza machukizo yako yote.
 
Acha upuuzi wewe. Ulitaka nitumie akili gani?
 
Biblia ipo kiroho zaidi. Huwezi elewa baadhi ya maandiko mpaka umaanishe kumfuata Kristo.
“ili wakitazama watazame, wasione; Na wakisikia wasikie, wasielewe; Wasije wakaongoka, na kusamehewa.

— Marko 4:12

Kwa kukusaidia machache:
1. Tumfanye mtu kwa sura na mfano wetu: kumbe yupo Mungu Baba, Yesu Kristo na Roho Mtakatifu

3. Hapo kwa wazaliwa wa kwanza, kibinadamu ni wazaliwa wa kwanza ndiyo, lakini Mungu alikuwa anashughulikia miungu ya Wamisri inayompa kiburi farao. Hapo ilikuwa vita ya Mungu na miungu. Kumbuka Waisraeli walikuwa ni wazaliwa wa kwanza kwa Mungu kabla ya mataifa mengine yote.

4. Hapo kwa Joshua, kumbuka huko nyuma aliangamiza wanadamu wote na kubaki Nuhu tu sababu ya maovu mengi ya wanadamu. Kumbuka Sodoma na Gomora. Kumbuka Ninawi. Toka Adam atende dhambi, ndiyo mwanzo wa mauaji, mwanzo wa kuondoka amani duniani. Biblia inasema hakuna amani kwa wabaya. Na Yesu hakuja kuleta amani duniani bali upanga ili mtu achukiane na ndugu yake. Halafu akaleta amani yake ya kipekee tofauti na hizi amani za kidunia. Joshua aliwaua wote waliokataa kufanya shirika na Israel, na waisrael walikatazwa kuoana na watu wa maraifa mengine kwani wangewafanya Israel waabudu miungu mingine. Hata sasa tunaishi duniani Mungu akiwa na huruma lakini huruma ya Mungu haipo kwa wafu. Aliyekufa katika dhambi hakuna msamaha tena, ukomo wa huruma ya Mungu.

5. Kuhusu Ayubu. Kwani kwanin Mungu kamwacha shetani kwa muda. Hapo mwanzo Shetani alitaka kuabudiwa kwa kushawishi malaika wenzake kuwa Mungu ni dikteta. Mungu akamwacha ili kudhihirisha je, madai ya Shetani ni kweli au uongo. Akamwacha kila malaika na kila mwanadamu afanye machaguzi aidha ya kusimama na Mungu au kumwamini Shetani. Leo watu wote tunaoana Shetani ni mwongo. Tafuta kitabu cha Yashari (the book of jashar) na kitabu cha henoko (The book of enock). Utaona mengi humo
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Umeleta logical non sequitur fallacy.

Inayoonesha ujinga wako.

Ujinga unaothibitisha Mungu hayupo.

Kwa sababu, angekuwepo, asingeumba mtu mjinga kama wewe.
 
Mungu ndiye atoaye na kuuchukua uhai wa mwanadamu...

Ayubu 1
21 akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nili uchi, nami nitarudi tena huko uchi vilevile; Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana na libarikiwe.
So mungu ndo anaua?
 
Ukisoma Yohana 1: 1 - 18

Utaona inatoa majibu ya kwamba wakati wa uumbaji wa ulimwengu na vitu vyake, utaona ulimwengu ulifanywa na Mungu baba na mwana, huyu mwana katajwa kama Nuru au Neno aliyekuja kufanyika mwili (Yesu Kristo)...
Unaongeza ukakasi zaidi.
 
Itoshe kusema umeandika upumbavu mtupu.
 
Kama kweli unataka kujua ilitakiwa umtafute anayejua akufundishe

Quran imeletwa Kwa lugha ya kiarabu na kiswahili ni mtoto wa lugha ya kiarabu Yani 95% ya misamiati ya kiswahili ni kiarabu hivyo kiswahili akina uwezo wa kutafsiri Kwa ufasaha lugha ya kiarabu

Ila maana halisi ya hiyo Aya ni hii yapa

Sema:Anayemfanyia uadui Jibrail(anajisumbua),hakika yeye(Jibrail) ameiteremsha (Qur’an) moyoni mwako,kwa idhni ya Mwenyeezi Mungu,inayosadikisha yale yaliyokuwa kabla yake,na ni uongofu na bishara ya waumini”.


Lakini pia kama kweli unataka kujua nani aliyekuwa anamletea mtume Muhammad hiyo Quran mbona Aya nyingine zipo nyingi tu ambazo hazina lugha ngumu Kwa Nini usizisome hizo



Quran 16:102 -
Sema: Ameiteremsha hii Roho takatifu kutokana na Mola wako Mlezi kwa haki, ili awathibitishe wale walio amini, na kuwa ni uwongofu, na ni bishara kwa Waislamu.
 
Umemaliza.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Biblia, Koran na vijarida vingine vyote ni mawazp ta binadamu waliolenga kuwatawala kifikra binadamu wenzao (wasio na ufahamu)
Ukitoka nje ya box ykasoma hivyo vitabu utagundua makosa mengi mno na utashangaa inakuwaje watu wazima wanaviheshimu kiasi cha kuwa tayari kumchinja anayevikosoa!

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…