Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

K



Wewe ni mpumbavu coz Mungu kamtaja mama, while sayansi yako haija Mtaja mama, kama Mungu ni muongo na hayupo pingana na maneno yake Kwa maana nenda kamle mama yako, kwani kipi kigumu?, mama yako hana papuchi?, hapa ni Mungu (through books and mitume) vs sayansi (na Wanasayansi logics)
hivi huko shuleni mlienda kusomea ujinga ee?

Kwahiyo wewe ni mpaka vitabu na mitume waiambie akili yako kuwa kumla mama yako sio matendo mema na ya kiutu ndo uelewe?
Mbona ni mambo ya kawaida yanayoeleweka ambayo sio lazima kufundishwa au kuambiwa ndo uyajue!
 
Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi;

1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina maana uumbaji ulifanywa nae kwa kushirikiana na wengine? Hakuwa peke yake? Hao wengine kina nani?

2. Mwanzo 6 - 10 kuna stori maarufu ya Nuhu. Hii ni stori ina ukakasi zaidi. Nikiandika maswali yote niliyojiuliza uzi utakuwa mrefu. Ninashauri mkaisome ili tuifungulie uzi wake.

3. Kutoka 11:5-6 kuna maandiko yanayosema kuwa wazaliwa wa kwanza wote wa wamisri kwa upande wa binadamu hadi wanyama watauwawa na Mungu mwenyewe ili waisraeli wapewe ruhusa ya kwenda nchi ya ahadi. Kiukweli haya yalikuwa ni mauaji ya halaiki kwa wasio na hatia. Unaambiwa hadi mzaliwa wa kwanza wa mbuzi, kuku, ng'ombe, mbwa na farasi waliuwawa. Kwanini isingetumika njia nyingine hao waisraeli wakaondoka?

4. Kitabu kizima cha Joshua kimejaa stori za mauaji matupu. Ikumbukwe Joshua alichukua nafasi ya Musa kwenye kuwaingiza waisraeli nchi ya ahadi baada ya kifo cha Musa. Nchi waliyoahidiwa ilikuwa tayari ina wakazi wake ambao ilibidi wauwawe wote ili kuwapisha waisraeli. Hivi ilishindikana vipi kufanya kama alivyofanya Mama Samia kuwatoa wamasai Ngorongoro na kuwapeleka Msomera kwa amani kabisa bila kumwaga damu? Kama leo 2024 bado kuna maeneo duniani hayajakaliwa na binadamu ilikuwaje enzi za Joshua? Ukisoma kitabu cha Joshua utaona kila sehemu waliyopita walikuwa wakiua wenyeji watakaowakuta. Kulikuwa na sababu zipi za msingi za mauaji haya yote?

5. Ayubu 1:6-12 utaona stori ya shetani alipojiunga na wana wa Mungu kupita mbele ya Mungu kumwabudu hadi Mungu akashangaa imekuwaje shetani akawa eneo lile? Baada ya hapo Mungu na Shetani wakakubaliana kwenda kumjaribu Ayubu kwa sharti la kutogusa mwili wa ajabu (kumuua). Katika yale majaribu watoto wa Ayubu waliuwawa na shetani. Naweza kusema ni mauaji yaliyokuwa na approval toka juu. Ilikuwa kazi maalum. Je, sio kwamba wawili hawa hukutana na kukubaliana baadhi ya mambo? Sio kwamba kuna kazi za shetani zina kibali maalum?
Nikipata nafasi nitakujibu.
 
Hujathibitisha Mungu yupo, unaleta stories za imani tu.
Wewe vipi si una elimu?, ma degree kibao lakini empty, nakuthibitishia mkuu, Mungu yupo through books (Quran kariim), mama ametukuzwa sna, that why she is special, lakini ukija ktk sayansi yako mama ni sehemu ya kuzalisha (kama sayansi haisemi hivi basi nawe toa hoja) sasa swali lipo hapa , je unaweza kula papuchi ya mama yako?, kama huwezi na fikiri huna hoja ya kumkataa Allah pamoja na usomi wako, note Wanyama hakuna mama, baba, wao, kiranga huna hoja
 
Wewe vipi si una elimu?, ma degree kibao lakini empty, nakuthibitishia mkuu, Mungu yupo through books (Quran kariim), mama ametukuzwa sna, that why she is special, lakini ukija ktk sayansi yako mama ni sehemu ya kuzalisha (kama sayansi haisemi hivi basi nawe toa hoja) sasa swali lipo hapa , je unaweza kula papuchi ya mama yako?, kama huwezi na fikiri huna hoja ya kumkataa Allah pamoja na usomi wako, note Wanyama hakuna mama, baba, wao, kiranga huna hoja
Hujathibitisha Mungu yupo, unaleta stories za imani tu.

Quran ina contradictions kibao, tatizo hujui hata contradiction ni nini.
 
Nilisoma kitabu cha wafalme farasi walikuwa wamebeba sanduku la agano kwa toroli la kukokota.
Sasa likawa linakaribia kuanguka jamaa mmoja akawahi kulizuia lisianguke.
Aliadhibiwa vikali sana na Mungu kwa kifo.🤣🤣
 
Hujathibitisha Mungu yupo, unaleta stories za imani tu.

Quran ina contradictions kibao, tatizo hujui hata contradiction ni nini.
Leo ndio naamini kuwa wewe ni mpumbavu, Quran kariim must accept it, huna elimu kichwani zaid ya ujinga
 
Biblia,nikama computer ,
Ina matumizi mengi na kuimaliza huwezi ,maana Kila mstari kwenye biblia unaweza kuwa namaana karibu 200, ndomaana utakuta mstari huohuo mchungaji huyu anaugundisha hv mwingine anaugundisha vile ,na unaeleweka Bible nikitabu chakusha ngaza kidogo..ukisoma unatakiwa uombe mungu kwanza akujaze roho wakukusaidia
 
Back
Top Bottom