Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

Angalau kwa biblia ila Kuna kitabu hiko Kuna Aya hadi leo inanifikirisha sana na sielewi kwanini wafuasi wake wanakaza shingo kukiamini

Qu'ran 2:97
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Nani ni adui wa Jibril? Jibu ni shetani
Kwanini shetani ateremshe Quran na tunaambiwa kuran ni tukufu?

Hili swali haitatakea nikapata jibu la kuridhika
Salma Rushidie alitolewa Fatwa kwa kuandika kitabu kujadili hilo ulilosema
 
Maswali yako ni kama kuuliza kwanini Mungu kakuumba kuwa binadamu badala ya kukuumba kuwa punda?.

Wakati kazi ya Mungu haina makosa.
 
Watu wajinga kama wewe huwa hampendi kutumia akili kabisa. Kila kitu mnaona ni kashfa. Ukiulizwa mama Safina ilitua juu ya Mlima Ararat je Kangaroo alifikaje Australia utajibuje?
Usinilazimishe niamini, umburula wako. Hakuna kitu ndani ya Biblia kisicho na majibu. Ila kama huamini,, hata ukielezwa hutakubal, chochote. Maana tayari umejenga mashtaka na kukataa.
 
Angalau kwa biblia ila Kuna kitabu hiko Kuna Aya hadi leo inanifikirisha sana na sielewi kwanini wafuasi wake wanakaza shingo kukiamini

Qu'ran 2:97
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Nani ni adui wa Jibril? Jibu ni shetani
Kwanini shetani ateremshe Quran na tunaambiwa kuran ni tukufu?

Hili swali haitatakea nikapata jibu la kuridhika
Mada ni biblia, kuanza kulinganisha na Qaran ni kufilisika kihoja
 
wenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina maana uumbaji ulifanywa nae kwa kushirikiana na wengine? Hakuwa peke yake? Hao wengine kina nani?
Wewe ni msomaji mzuri wa biblia,ukitaka kuifaidi biblia isome kwa kujiuliza maswali,utafaidi

Swali hili la kwanza linajibiwa na uwepo wa Mungu katika utatu mtakatifu
Mungu baba,mwana na Roho mtakatifu.
Soma mwanzo 1:2b(Roho ya Mungu ikatulia juu ya maji)
 
Kumbe Biblia si maneno ya Mungu?, mbona watumishi wakinukuu Biblia husema ni neno la Mungu?
Mungu hajawahi kuandika wala kuwaelekeza watu kuandika hiyo Biblia. Ni kitabu kilichojaa masimulizi yanayohusu mahusiano ya hao watu na huyo waliyekuwa wakimuamini kama Mungu wao (Agano la kale).
 
Sikia mkuu, Quran kariim ipo clearly, haiitaji roho mtakatifu bali akili, ulichoweka hapo si ulicho kisema, alafu kila siku mna sahihishwa lakini wapi, hakuna swali ambalo Quran kariim haija jibu, Quran kariim ni maneno ya Allah, ipo wazi, jibril ni malaika wa ALLAH na Shetani ni adui wa wanaadamu, je Quran kariim haija sema hivo?, (ndio hoja yako ipo hapo?
Huyo adui wa Jibril ni nani ?
 
Kama Mungu hayupo basi ka lale na mamayo, vinginevyo Mungu yupo, hiyo sayansi haijui lolote kuhusu mwamke ispokua ni mzalishaji, sasa kamzalishe mama yako, Mark My words, only Mungu tu kamzungumzia mama kwa hadhi ya juu siyo hyo sayansi yako ya kijinga
Acha hizo lugha za kitoto. Uzilazimishe watu kuamini uwepo wa Mungu. Jenga hoja na weka ushahidi. Kama kweli Mungu aliandika Biblia, basi akili, uelewa na upeo wake vilikuwa chini sana kuihusu dunia aliyoiumba.
 
Wewe vipi si una elimu?, ma degree kibao lakini empty, nakuthibitishia mkuu, Mungu yupo through books (Quran kariim), mama ametukuzwa sna, that why she is special, lakini ukija ktk sayansi yako mama ni sehemu ya kuzalisha (kama sayansi haisemi hivi basi nawe toa hoja) sasa swali lipo hapa , je unaweza kula papuchi ya mama yako?, kama huwezi na fikiri huna hoja ya kumkataa Allah pamoja na usomi wako, note Wanyama hakuna mama, baba, wao, kiranga huna hoja
Kwa hiyo bila Quran wewe ungemla mama yako?, utakuwa na akili kama za nguruwe.
 
Hakuna Kitabu kilichojaa Hekima na Maarifa ya Mungu ambayo yana Manufaa kwa Mwanadamu kama Biblia.
Hata hivyo unatakiwa kujua baada ya Adamu na Hawa kuanguka katika Dhambi,Dhambi imeleta matokeo gani kwa mwanadamu na sayari hii anayoikalia.
 
1725735664841.jpg
 
Kwa hiyo bila Quran wewe ungemla mama yako?, utakuwa na akili kama za nguruwe.
Kwani Wanyama wana Fanya vipi?,
Quran kariim imekataza zinaa, fanya ilo katazo halipo (assume) mimi/kidume chochote nakuja kwenu nagonga mlango una fungua nakwambia niitie mama yako, una fanya hvo ana Toka, naongea nae na kisha tunaingia chumbani kula Raha huku wewe uki shuhudia,
swali je utakubali huu mfumo wa maisha?,
Kwa taarifa yako watu wali ishi hv, na jamii nyingi zilikua potofo na watu wengi hawakupenda, uislamu ulipo simama na kusema (Quran kariim) zinaa ni haramu kila mtu alikubali bila ya mjadala papo hapo
 
Hiyo akili yako ya kuelewa mambo ya kiroho umeitoa wapi tofauti na huyu anaetumia akili ya kibinadamu?
Anayenisaidia kuelewa Mambo ya Kiroho ni Roho Mtakatifu....!

Yote yaliwezekana baada ya kuacha kuufanya Moyo wangu kuwa Mgumu, nilifungua Moyo wangu, nikajikuta naanza kuelewa Mambo ya Ulimwengu wa Roho...!

Maisha yetu yanaanzia kwenye Ulimwengu wa Roho, kila kinachotokea kwenye Ulimwengu wa Mwili, kilianzia kwenye Ulimwengu wa Roho..!

Ndo maana Biblia inasema Kwa Wenye Akili (Wanaotumia Akili za Kibinadamu) habari ya Mungu kwao ni Upumbavu...!
 
Back
Top Bottom