love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Wewe marope NECTA walishakuanika huna pakujificha.Umekuwa MPAYUKAJI ...
Yaani hayati JPM aliyekuwa anapambana dhidi ya WEZI ,WABADHIRIFU NA WAFOJAJI VYETI VYA TAALUMA aamue kumteua uwaziri mh.J.Makamba?!!!
Umejawa na stress usiku huu wa manane 🤣🤣
POROJO nyingine....Magufuli alimteua uwaziri January kutokana na kazi yake na genge lake kwa kuiba kura kidijitari na kuwawezesha ccm kushinda uchaguzi!! Kumbuka Magufuli hakumshinda Lowassa ingawa ndio alitangazwa kushinda; kazi ya kuiba kura kigigitali ilifanywa na wakina January na ndiyo maana walivyoona Magufuli anawadharau wakaanza kuchora CARTOONS kumkumbusha kuwa wao ndiyo waliomuweka madarakani!! Toka hapo ndio uadui wao ukaanza wazi wazi kwani Magufuli aliona kama walikuwa wanamfanyia blackmail!!
Right on the money on this one!Magufuli alimteua uwaziri January kutokana na kazi yake na genge lake kwa kuiba kura kidijitari na kuwawezesha ccm kushinda uchaguzi!! Kumbuka Magufuli hakumshinda Lowassa ingawa ndio alitangazwa kushinda; kazi ya kuiba kura kijigitali ilifanywa na wakina January na ndiyo maana walivyoona Magufuli anawadharau wakaanza kuchora CARTOONS kumkumbusha kuwa wao ndiyo waliomuweka madarakani!! Toka hapo ndio uadui wao ukaanza wazi wazi kwani Magufuli aliona kama walikuwa wanamfanyia blackmail!!
😳😳🤣🤣Wewe marope NECTA walishakuanika huna pakujificha.
Ulipewa nafasi ya upendeleo kama ya bashite,
umepewa lift unatak upige na honi wewe ni mwizi marope.
Na sasa ndio unazihirisha huna akili kila kitu kimekushinda.
Sijawahi kumshambulia hayati JPM hata siku moja....usinijumuishe katika CHUKI zako za kisakala
POROJO nyingine....
Huna ushahidi kuwa mh.Lowassa alishinda uchaguzi mkuu....
Huwezi kutetea mwizi kama sio mwizi marope wewe ni zero brain.😳😳🤣🤣
Kwa jinsi ulivyo sakala hobobo umeamua kubadili gia ya uchizi na kuamua kuniita mimi ni huyo ndugu UNAYEMCHUKIA 🤣🤣
CHUKI HUVIZA MOYO
Magufuli huyu huyu aliyemuweka gerazani mkwe wa Lowasa wa TRA mpakaSina matatizo na wewe kama utatubu kuwa wewe na genge lako hamjawahi kumshambulia Jiwe!!!! Ingawa sio rahisi kuamini kutokana na ushabiki wako kwa wakwere!!
Wewe kifuu unajua siri ya Magufuli kumuheshimu Lowassa mpaka ameingia kaburini? Alijua kuwa walimuibia kura na kumfanya aonekane kamshinda Lowassa!!! Juu ha hivyo alijua kuwa kura za wafuasi wa Lowassa ndio zilimfanya awashindewapambe wa Kikwete na kupata uteuzi wa ccm kugombea URAIS!
Chuki huviza moyo....Sina matatizo na wewe kama utatubu kuwa wewe na genge lako hamjawahi kumshambulia Jiwe!!!! Ingawa sio rahisi kuamini kutokana na ushabiki wako kwa wakwere!!
Wewe kifuu unajua siri ya Magufuli kumuheshimu Lowassa mpaka ameingia kaburini? Alijua kuwa walimuibia kura na kumfanya aonekane kamshinda Lowassa!!! Juu ha hivyo alijua kuwa kura za wafuasi wa Lowassa ndio zilimfanya awashindewapambe wa Kikwete na kupata uteuzi wa ccm kugombea URAIS!
Umeshaishiwa hoja zaidi ya ARGUMENTUM AD HOMINEM 🤣🤣Huwezi kutetea mwizi kama sio mwizi marope wewe ni zero brain.
NECTA walikufutia matokeo bila ushahidi!!!?Umeshaishiwa hoja zaidi ya ARGUMENTUM AD HOMINEM 🤣🤣
WEKA USHAHIDI WA WIZI WA MAKAMBA AKIWA WAZIRI WA NISHATI
Unao ?!!!
😳😳😳🤣🤣Magufuli huyu huyu aliyemuweka gerazani mkwe wa Lowasa wa TRA mpaka
aliporudi CCM ndio akaachiwa??? Alimuogopa kiaje????
Lowasa hakuwa mtu wa maneno ndio maana Magufuli hakuwa
anamjibu Lowasa majukwaani.
Huo ni uzushi tu dhidi ya mh.Waziri JM......NECTA walikufutia matokeo bila ushahidi!!!?
Umesahau kwanini ulirudia QT???Huo ni uzushi tu dhidi ya mh.Waziri JM......
Magufuli huyu huyu aliyemuweka gerazani mkwe wa Lowasa wa TRA mpaka
aliporudi CCM ndio akaachiwa??? Alimuogopa kiaje????
Lowasa hakuwa mtu wa maneno ndio maana Magufuli hakuwa
anamjibu Lowasa majukwaani.
Wewe ndio uliyerudia QT kwa huu uongo na porojo zako kuwa mh.Lowassa ana mkwe aliyekuwa TRA 🤣🤣🤣🤣Umesahau kwanini ulirudia QT???
Marope bhna.
Umeanza kumuita KIFUU mtetezi mwenzako wa uzushi wenu wa mchongo dhidi ya mh.Makamba?!!!🤣🤣🤣Wewe kifuu inaelekea hujui tofauti kati ya "KUHESHIMU" na "KUOGOPA"; nenda shule kwanza ndiyo uje uzungumze na wakubwa!
Sasa wewe tupe ushahidi ulio nao kuhusu usafi wa Makamba, maanake umeng'ang'ana weeee upewe ushahidi. Tueleze wewe usafi wa Makamba ili watu waache kumsakama na tuhuma zisizomhusu kabisa.Sipo humu kumkingia kifua mtu ! Kama ana makosa nae ntampa makavu
Sipendi sana mtu kuonewa kwa sababu ya chuki na uzandiki tu!
Umeanza kumuita KIFUU mtetezi mwenzako wa uzushi wenu wa mchongo dhidi ya mh.Makamba?!!!🤣🤣🤣
Huna ukweli wowote....Sina ubia na mtu humu, michango yangu inategemea ukweli uko wapi sio kupindisha pindisha mambo!! Nyie mnaolipwa kutetetea upuuzi ndio mnajuana makundi yenu!!!
Mwenyewe katulia tuliMakamba si wa kumchafua hivi....AMESHAZOEA kuchafuliwa na MASAKALA.....
Kweli mti wenye matunda mazuri ndio hupopelewa mawe......
#Siempre JMT[emoji120]