Hizi ni tuhuma nzito kwa Waziri January Makamba, Je kuna ukweli hapa?

Huyo jamaa yupo kimkakati pale, hatoki leo wala kesho.. mpaka mission iwe imekamilika. Tunataka pesa za 2025... mataga na sukuma gang mtakiona.
 
Hii sms inatakiwa Mh. Rais wetu Mama Samia aisome, asipomtengua, basi ALL EVILS za January zitaenda kwake mteuzi.

I repeat, ALL EVILS za January zitaonekana zinatoka kwa Mama yetu, of which mie sioni hilo kwa sasa hivi.
 
Mustakabali wa Taifa hautokani na chuki na wivu
 
Hii sms inatakiwa Mh. Rais wetu Mama Samia aisome, asipomtengua, basi ALL EVILS za January zitaenda kwake mteuzi.

I repeat, ALL EVILS za January zitaonekana zinatoka kwa Mama yetu, of which mie sioni hilo kwa sasa hivi.
Mpuuzi at work! Yani Samia amtengue Makamba kwa chuki na wivu wako tu?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Utasubiri sana
 
Makamba anaongea na bunge kaweka mikono mfukoni. Amatumwa na Rais kuweka mikono mfukoni
 
Hii sms inatakiwa Mh. Rais wetu Mama Samia aisome, asipomtengua, basi ALL EVILS za January zitaenda kwake mteuzi.

I repeat, ALL EVILS za January zitaonekana zinatoka kwa Mama yetu, of which mie sioni hilo kwa sasa hivi.
😳😳😳🀣🀣

Wewe jamaa vipi ni OBSESSIVE COMPULSIVE DISORDER inayotokana na GRANDEUR DELUSION nini ?!!!!

Yaani mh.Rais ATEUE/ATENGUE kwa sababu ya MATAKWA YAKO WEWE....kwa sababu ya CHUKI na HUSDA ZAKO wewe?!!!😳😳
 
Ushahid wa huyo iblisi wako kushindwa ni nguvu kubwa aliyoitumia kwa wapizani wake,hlo kila mwenye akili timamu na huru analijua.
Matokeo yanatangazwa na tume ya uchaguzi iliyomtangaza hayati JPM baada ya kushinda....unataka tusiiamini TUME na tukuamini wewe KHOISAN?!!!
 
Ushahid wa huyo iblisi wako kushindwa ni nguvu kubwa aliyoitumia kwa wapizani wake,hlo kila mwenye akili timamu na huru analijua.
Uwe na adabu IBLIS ni mmoja tu duniani hapa.....umefunga ama umetoa pasi tu ?!!!😳

#Siempre JMTπŸ™
 
Mama Samia sikio vilio vya watu juu ya huyu dogo Makamba, we told you kuwa huyu jamaa ni Kibaka/mwizi tu na mnafiki kama baba yake,,,,,hafai kwa taifa letu.
 
Wee shika adabu yako mtoto, i repeat uwe na adabu, shut up, January has long ago no public trust kwa matendo yake, mtu wa dili dili tu, hujui kitu ww plus his credentials ni shida tupu, hujui kitu ww mtoto wa jana, i repeat better keep shut
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…