mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,526
- 3,756
Pombe ni pombe tu, zote zina alcoholUnakosea kuziita pombe, huo ni uchafu. Pombe ni chakula.
Nikiona mtu anakunywa hizo namwona kama mjinga mjinga.
Weka na K Vant pia hapo
Huo ni uchafu hata 3000 kwa chupa moja sijui kama unafikaPombe ni pombe tu, zote zina alcohol
Hahaha!Mbaya sana , ,,zinaua brand.
Wachaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23]Vile hampendi masikini afurahie maisha yaani kipato changu per day ni 10000 hapo nile, nilipe kodi afu mnataka nitumie pombe standard nyie mna matatizo sio bure nitaishi na huohuo uchafu kikubwa stimu
Umeongea pointiView attachment 3583096
Hizi pombe za 'bei poa' zinazidi kuumiza vijana bila wao kujijua na Serikali kupitia TRA wameridhia (zina sticker) mradi wanapata kodi yao.
Madhara yanayochochewa na unywaji wa pombe hizi ambazo nahisi hazijakidhi vigezo ni makubwa huko mbeleni.
Serikali inayoangalia zaidi mapato na si usalama wa raia wake inatia mashaka.
Soma pia:
1) KERO - Janga la pombe kali na anguko la kizazi: Kilio cha wazazi na hatari kwa Taifa
2) KERO - Pombe kuuzwa kwenye maduka ya vyakula mtaani imekuwa tishio, inachochea ongezeko la vijana walevi
3) KERO - Serikali imeamua vijana wafe kwa Pombe kali kwa kuweka KODI
ππ Anyway rudisha Jaack SparrowUnakosea kuziita pombe, huo ni uchafu. Pombe ni chakula.
Nikiona mtu anakunywa hizo namwona kama mjinga mjinga.
Weka na K Vant pia hapo
Mm sinywi pombe mkuu π nakunywa maji π
Sigara zenyewe zimeandikwa hatari ila wanazalisha tuuuningekuwa na mamlaka ningepiga marufuku uzalishaji na uingizaji wa pombe zote aina ya spirit zina haribu vijana jaman wanavimba mashavu hadi huruma na kuvimba huko sijui ndio dalili ya ini kuungua jaman serikal iingilie kati tunazika kila kukicha vijana wanaisha ukiwatazama kama vibabu vyenye miaka 90