Je unakubali uwepo wa biashara ya utumwa?Mimi sijajisifu kuijua historia ya utumwa , wewe unayeijua tuwekee jina moja tu la mtumwa aliyeuliwa au kubambikiziwa kesi ya ugaidi au Mali yake kutaifishwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je unakubali uwepo wa biashara ya utumwa?Mimi sijajisifu kuijua historia ya utumwa , wewe unayeijua tuwekee jina moja tu la mtumwa aliyeuliwa au kubambikiziwa kesi ya ugaidi au Mali yake kutaifishwa
Wewe umeweka jina la hao waoman ndugu zako waliouwawa siku ya mapinduzi matukufu?
Je unakubali uwepo wa biashara ya utumwa?
Nani alimpindua nani kwenye mapinduzi hayo?.Biashara ya utumwa inahusiana nini na mavamizi?
Soma hapaNani alimpindua nani kwenye mapinduzi hayo?.
Wewe umeweka jina la hao ndugu zako Waoman waliouaawa kwenye mapjnduzi?Hii thread umeisoma vizuri? Au una chuki zako tu .
Mimi sijazungumzia watumwa kuuliwa na Waarabu aliyesema ni wewe, na unajisifu umesoma historia lakini historia yako inashindwa kuweka walau jina moja tu la huyo mtumwa aliyeuliwa
Mimi sijasema chochote kuhusu watumwa, aliyesema ni wewe uliyenyeshwa sumu na kanisa pamoja na baba yako Nyerere wanaohusisha mambo yaliyotokea miaka zaidi ya 200 na watu wa hivi sasaWewe umeweka jina la hao ndugu zako Waoman waliouaawa kwenye mapjnduzi?
Unaposhangaa kuwa kulikuwa na color movies in 1964 imeonyesha dhahiri unabisha for the sake ya kubisha. Ngoja nikuwekee color video za kabla ya 1964
Umemuona hapa Nyerere yupo Whitehouse mwaka 1963, hii ni colored video au siyo colored?
Don't ** with a **, people might not notice the difference!!Mimi sijasema chochote kuhusu watumwa, aliyesema ni wewe uliyenyeshwa sumu na kanisa pamoja na baba yako Nyerere wanaohusisha mambo yaliyotokea miaka zaidi ya 200 na watu wa hivi sasa
Ndio jina la mtumwa hilo ulisoma kwenye historia ya Nyerere?Don't ** with a **, people might not notice the difference!!
Ndio mkuu!!Ndio jina la mtumwa hilo ulisoma kwenye historia ya Nyerere?
Hongera kijana wa ChatoNdio mkuu!!
kwni mauji ya urusi na ukereine unadhani nani aezika mizoga hiyo?
Kilichotokea it's what goes around, comes around. Kabla ya uvamizi wa Waarabu wa Oman kwenye visiwa vyetu, familia ya watawala walikuwa ni ukoo wa Mwinyimkuu, jee unajua Waarabu wavamizi hao, waliwafanya nini hadi ukoo mzima wa Mwinyimkuu ukafutika kwenye uso wa dunia na wao kujitwalia visiwa hivyo as if wameviokota vilikuwa havina mwenyewe?. It was genocide!.
Tena afadhali hata ya Mjerumani alipoitwa Tanganyika, Karl Peters aliwasainisha kina Sultan Mangugo mikataba kwenye lugha ya kijerumani hivyo mababu zetu hawakujua wana saini nini, hizo documents ndizo wakaziwasilisha kwenye mikutano wa Berlin wa 1884, kule Sultan of Zanzibar alituma uwakilishi na kueleza eneo lote la Pwani ya East Africa from Sofala to Lamu ni milki yake!, kumbe ni mvamizi tuu!.
What goes around, comes around!.
P
sina chuki na watu wowote ila ukiangalia historia waafrika waliuwawa kwa wingi sana hiyo idadi ya 13000 u aweza zidisha hata mara 1000 wakati wa utumwa, sasa kuua waarabu kidogo tu mnalalamika.
fuatilia historia ya utumwa ndio utajua mabaki ya mizoga ya watu waliozagaa kwenye fukwe ya bahari hapo zenji kutokana na kufa wakati wa kuja utumwani
Hongera mwaraabu wa OMAN na pole kwa babu zako waliouwawa kwenye mapinduzi matukufu ya 1964!Hongera kijana wa Chato
Waraabu walipovamia Znz waliua Waafrika wengi sana wakati wa utumwa. Hivyo kama waliuwawa wakati wa mapinduzi matukufu ni sawa tu. Ukoo wa wenyeji wa Znz wako wapi?
Kilichotokea it's what goes around, comes around. Kabla ya uvamizi wa Waarabu wa Oman kwenye visiwa vyetu, familia ya watawala walikuwa ni ukoo wa Mwinyimkuu, jee unajua Waarabu wavamizi hao, waliwafanya nini hadi ukoo mzima wa Mwinyimkuu ukafutika kwenye uso wa dunia na wao kujitwalia visiwa hivyo as if wameviokota vilikuwa havina mwenyewe?. It was genocide!.
Tena afadhali hata ya Mjerumani alipoitwa Tanganyika, Karl Peters aliwasainisha kina Sultan Mangugo mikataba kwenye lugha ya kijerumani hivyo mababu zetu hawakujua wana saini nini, hizo documents ndizo wakaziwasilisha kwenye mikutano wa Berlin wa 1884, kule Sultan of Zanzibar alituma uwakilishi na kueleza eneo lote la Pwani ya East Africa from Sofala to Lamu ni milki yake!, kumbe ni mvamizi tuu!.
What goes around, comes around!.
P
Mapinduzi gani watu wasife??
Unafikiri ni mchezo wa karata?.. Revolution siyo jmbo dogo . Ni kichapo cha nguvu na kinaarndana na kukunyima muda wa kupumua.
Pole kwa kuondoshwa mnyamwezi mwenzako magu na waafrika wenzake .Hongera mwaraabu wa OMAN na pole kwa babu zako waliouwawa kwenye mapinduzi matukufu ya 1964!