Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Sasa mkuu hata kuku anapitia process ngapi ili uweze kumla. Achinjwe, yachemshwe maji, anyonyolewe, na wale wataalamu, lazma wambanike kidogo ili waondoe manyoya madogo kwenye ngoziKisamvu kinafanyiwa make up ili kiwe mboga, kutwanga, karanga, kuchemsha n.k.
Bado kuna kumpasua, kumtoa uchafu na kumkatakata
Bado tena umchemshe au umkaange then umuunge.. Hapo kuna tofauti gani na hivyo visamvu
Na kama unapenda shortcuts, hata hizo mboga za majani na maharage, ukipita migahawani wanauza vile ambavyo havijaungwa so kazi yako inakuwa ni kuunga tu unavyotaka.. Big deal ni nini mkuu 😁