Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

 
Wengine wanapaka madawa ya kulevya
Kwenye matiti,

Mwanaume Mwanaume ukifanya romance unayakula Na kuyanusa umekwisha!

Atakubakishia boxer tu akikuhurumia.

Hela atachukua zote, laptop n.k.


Tena mwingine anahakikisha humfanyi chochote, anakuwahi [emoji108]
 
 
.

SEMA WAKUU,
Baada ya hiki kisa Naomba mnijuze,
hivi Hawa Makahaba wengine huwa Ni walozi, washirikina sana au vipi ?

Au Kuna vitu huwa wanawachanganyia kwenye vilevi mpk mtu anazima na kupoteza kumbukumbu KABISA anaibiwa?
Uchawi sijui
Lkn kichanganyio kwenye pombe ni either ugoro au dawa ya nusu kaputi Inaitwa Ketamine.

Huyo Muhaya polisi hawawezi kumsaidia , Yaani anajiita bwana mkubwa hlf anategemea kesi kama huyo isolviwe na polisi wa kaunta tu?


 
Mhaya hakubakishiwa hata na boksa,zote zililowekwa Kwny ndoo,alibaki uchi
 
DeepPond soma hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…