DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Ubaya wake uko wapi[emoji4]Style ya maisha mnayoishi wanaume wengi mbaya sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubaya wake uko wapi[emoji4]Style ya maisha mnayoishi wanaume wengi mbaya sana.
Mkuu nakwambia hizo dawa Ni hatari Sana, ukizidishiwa dozi lazima ukate Moto.Dah! Hii mbona Ni hatar Sana!
Akizdisha dozi si unapitliza unakufa[emoji848]
Dah! [emoji848]Mkuu nakwambia hizo dawa Ni hatari Sana, ukizidishiwa dozi lazima ukate Moto.
Hao Wanawake huwa wanafanya timing ya kutosha Sana mkuu.Yaani akikuwekea hizo dawa kwenye kinywaji anajua muda ambao zitaanza kufanya kazi mwilini mwako.Yaani Ni Kama slow poison.
Huku kwetu watu washapigwa pesa ndefu Sana kupitia hizo dawa.
Hii ndo kauli mbiu boss muulize legend Mzee wa kupambania2.Sinyonyi mate, sinyonyi maziwa sinaga romance na malaya. yani tukifika room huwa navua anavua manua navaa ndomu napachika na kuchakata.
Na wee yashakukuta mkuu? Ilikuaje?Usinikumbushe uchungu
Aisee huu uzi ndo nauona leo[emoji26]Kuweni makini sana na malaya wa Sinza pale!!
Kuweni makini sana na malaya wa Sinza pale!!
Habar wakuu bila poteza muda ngja niende direct kwa mada hasa kwa wale wadau wa kununua papuchi mitaa ya lacharz. Jana jamaa yangu yaliyo mkuta hana hamu tena ya kununua malaya. Jana mida ya sa3 usiku aliopoa demu mkali sana mitaa hyo akaona so case wacha ampeleke 5N pale mliman akamnyweshe...www.jamiiforums.com
Kosa langu liko wapi,Mi ningekomaa na wewe
Tulikubaliana utume pesa. Hujatuma nimeifuata.
Nimeibiwa over a lady uliyesuggest nimualike.
Kosa langu liko wapi mkuuMi ningekomaa na wewe
Tulikubaliana utume pesa. Hujatuma nimeifuata.
Nimeibiwa over a lady uliyesuggest nimualike.
Hii hatar sn mkuu[emoji4]Kazi na dawa
Pole sana kwa wageni wako mkuu. Naweza kusema kwamba wewe ndiye uliyemponza mhaya. Kama ungemtumia mzigo wake mapema asingekuja Dar kuibiwa na kahaba.Ila hapo Moja kwa moja mnyakyusa akahitimisha kua wale mabinti wote lao ni Moja,Ni wezi na pia huenda na yeye angepigwa tukio maana walipofika alikabidhi pesa zote nilizompa mil.2 5 pale counter,akabakiwa na pesa zake elfu 80 tu na kisha walipoingia TU chumbani, akafunga mlango na kuweka funguo mfukoni, binti akataka mnyakyusa ndie akatangulie yeye kuoga. Wakabishana kdg,ila binti ndo akatangulia kuoga.
Binti Alivoingia tu kuoga, mnyakyusa akasogeza kitanda hadi mlangoni,akaitoa funguo ya mlango mfukoni na kuibana na biggy G vizur nyuma ya kioo Cha Cha kujitizama cha plastic kilichoning'inizwa kwny msumari jiran na meza walikoweka vitu vyao.
Kisha binti alipomaliza kuoga,karudi katahamaki kitanda kilivokaa, mnyakyusa akamwambia kitanda akiache hivo hivo kilivyo,kaoga kamaliza, wamefanya Yao wamelala mpk asbh binti ndo anamwamsha kua kushakucha, apewe ujira wake anahitaj kuondoka. Wamelipana vzur kamfungulia binti kaondoka zake.
Mnyakyusa kamaliza kunisimulia hayo,mhaya nae ndo anatoka kuandika maelezo,namuuliza vipi, mhaya kawa mpole Hana hata Cha kusema,nkaona Bora nisimsemeshe.
Ngoja tuache polisi Kwanza wafanye kazi yao.
SEMA WAKUU,
Baada ya hiki kisa Naomba mnijuze,
hivi Hawa Makahaba wengine huwa Ni walozi, washirikina sana au vipi ?
Au Kuna vitu huwa wanawachanganyia kwenye vilevi mpk mtu anazima na kupoteza kumbukumbu KABISA anaibiwa?
Yaan yule binti namkumbuka KABISA,ukimuangalia mwonekano wake,ana aibu na sio mwongeaji huwez mdhania KABISA km anaweza fanya kitendo kile [emoji848]
Nawasilisha wakuu[emoji1431]
Aisee Hii Ni Changamoto,Pole sana kwa wageni wako mkuu. Naweza kusema kwamba wewe ndiye uliyemponza mhaya. Kama ungemtumia mzigo wake mapema asingekuja Dar kuibiwa na kahaba.
Baada ya lawama, naomba nijibu kwamba kwa jinsi mazingira ya utapeli huu yalivyotokea, inawezekana kabisa hakuna uchawi uliotumika bali ULEVI wa kupindukia ndio chanzo.
BTW hili liwe fundisho kwa wale wanaochanganya ulevi na ugegedaji.......hivi vitu ni kama mafuta na maji......havichanganyiki. Asante.
Ndio hivyo tena; ajifunze kustarehe Dar kwa adabu.Aisee Hii Ni Changamoto,
Na kweli napata kubeba lawama
Ila nahs mhaya na uilimbuken ulichangia
Alijiachia Sana akasahau kua kaopoa kahaba