Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Anayeibiwa na Malaya huyo ni fala. Enzi hizo chuo nipo mabibo hostel 2007, nyege zilikaba nikaenda ambiance, nikachukua limoja hapo. Kufika lodge nikaona movements haziishi, akajua mimi sijui fala aliniomba nimnyonye matiti. Kwenye matiti kuna dawa hupaka

Nikamuambia acha uthenge
 
Ila jamani mtu unywe mabia mixer KVANT mzinga kavukavu halafu mnasema kawekewa dawa?Hapana atakuwa yeye mwenyewe alizima akakata memory,halafu tabia ya kunywa bila kiasi ukiwa na stranger sio nzuri,Inabidi unakunywa unabakiza akili Kama mnyakyusa alivyobakiza akili za kuficha funguo nyuma ya kioo
 
Dah kuna padri alipigwa 25mil singida na mdada alikuwa kaajiriwa kwa mama ntilie alifanikiwa kumpata lakini huyo dada aligoma kabisa kurudisha pesa na padri alikuwa hathubutu kwenda polisi. Padri alijifanya hizo anaacha kwenye gari kumbe huyo dada alikuwa ashajua padri ana mzigo basi walivyoingia lodge usiku mdada akamvizia akachukua funguo ya gari akaenda kuziiba zile hela kwenye gari akasepa zake.
 
Ugolo ulivo na harufu Kali imawezekna vp mtu awekewe asinotice au Kupiga chafya?

Ebi Ufafanuzi kdg Apo kiongozi [emoji4]

ugolo ukiwekwa kwenye coca cola au ma pombe ya lager huwezi kuijuaa wala harufu huwezi nusa.

Ukiwa unakunywa kola au soda yyte utahisi umewekewa kitu mana kizunguzungu kitagonga sana ila kama pombe huwez jua
 
Hii inatish Sana,basii mwnyw nilinusurika maana huenda ile kamati ya mabinti wangetunyoosha wote
 
Dah kuna padri alipigwa 25mil singida na mdada alikuwa kaajiriwa kwa mama ntilie alifanikiwa kumpata lakini huyo dada aligoma kabisa kurudisha pesa na padri alikuwa hathubutu kwenda polisi. Padri alijifanya hizo anaacha kwenye gari kumbe huyo dada alikuwa ashajua padri ana mzigo basi walivyoingia lodge usiku mdada akamvizia akachukua funguo ya gari akaenda kuziiba zile hela kwenye gari akasepa zake.
Kumbe na viongozi wa dini nao ukutwa madhira Kama yetu raia waovu [emoji1787][emoji1787]

Sipati picha hayo manung'uniko na majuto Yake,uskute zlkua Ni sadaka za waumini[emoji38]
 
Mkuu Wenzangu kwamba namie ni kahaba ama[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]????

Haha.... wanaamini ni njia yao ya kujipatia kipato mkuu kama wezi wengine wanavoiba tu!!
wezi wengn wanaiba ila Wana utu kias.

Imagine mtu anakuibia Ela na vitu afu nguo zako anakulowekea kwenye maji.

Huu Ni Zaid ya ukatili[emoji26]
 
Ila jamani mtu unywe mabia mixer KVANT mzinga kavukavu halafu mnasema kawekewa dawa?Hapana atakuwa yeye mwenyewe alizima akakata memory,halafu tabia ya kunywa bila kiasi ukiwa na stranger sio nzuri,Inabidi unakunywa unabakiza akili Kama mnyakyusa alivyobakiza akili za kuficha funguo nyuma ya kioo
Mbona Joannah wenzake walikunywa hizo hizo kvant kavu na hawajapoteza memory Kama yeye?
 
Anayeibiwa na Malaya huyo ni fala. Enzi hizo chuo nipo mabibo hostel 2007, nyege zilikaba nikaenda ambiance, nikachukua limoja hapo. Kufika lodge nikaona movements haziishi, akajua mimi sijui fala aliniomba nimnyonye matiti. Kwenye matiti kuna dawa hupaka

Nikamuambia acha uthenge
Dah! Kwaiyo matiti upaka mtakataka Yao, ungejifanya bingwa wa malavidav angekunyoosha[emoji1787]
 
Dawa zingine zinapatikana pharmacy simple tu zinaitwa Valium[emoji769](Diazepam) zinatumika kutuliza watu ambao wako aggressive kama vichaa au mtu mwenye Convulsions(pepopunda). ukipewa hio dawa unalala fofofo. Ukiwekewa kwenye kinywaji lazima ukate moto ipo ya vidonge na sindano pia
Inamaana zinauzwa TU kiholela au vp?
 
Back
Top Bottom