Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Ila hapo Moja kwa moja mnyakyusa akahitimisha kua wale mabinti wote lao ni Moja,Ni wezi na pia huenda na yeye angepigwa tukio maana walipofika alikabidhi pesa zote nilizompa mil.2 5 pale counter,akabakiwa na pesa zake elfu 80 tu na kisha walipoingia TU chumbani, akafunga mlango na kuweka funguo mfukoni, binti akataka mnyakyusa ndie akatangulie yeye kuoga. Wakabishana kdg,ila binti ndo akatangulia kuoga.

Binti Alivoingia tu kuoga, mnyakyusa akasogeza kitanda hadi mlangoni,akaitoa funguo ya mlango mfukoni na kuibana na biggy G vizur nyuma ya kioo Cha Cha kujitizama cha plastic kilichoning'inizwa kwny msumari jiran na meza walikoweka vitu vyao.

Kisha binti alipomaliza kuoga,karudi katahamaki kitanda kilivokaa, mnyakyusa akamwambia kitanda akiache hivo hivo kilivyo,kaoga kamaliza, wamefanya Yao wamelala mpk asbh binti ndo anamwamsha kua kushakucha, apewe ujira wake anahitaj kuondoka. Wamelipana vzur kamfungulia binti kaondoka zake.

Mnyakyusa kamaliza kunisimulia hayo,mhaya nae ndo anatoka kuandika maelezo,namuuliza vipi, mhaya kawa mpole Hana hata Cha kusema,nkaona Bora nisimsemeshe.
Ngoja tuache polisi Kwanza wafanye kazi yao.

SEMA WAKUU,
Baada ya hiki kisa Naomba mnijuze,
hivi Hawa Makahaba wengine huwa Ni walozi, washirikina sana au vipi ?

Au Kuna vitu huwa wanawachanganyia kwenye vilevi mpk mtu anazima na kupoteza kumbukumbu KABISA anaibiwa?

Yaan yule binti namkumbuka KABISA,ukimuangalia mwonekano wake,ana aibu na sio mwongeaji huwez mdhania KABISA km anaweza fanya kitendo kile [emoji848]

Nawasilisha wakuu[emoji1431]
Aliye soma mpaka mwisho atupe short summary...plz .....itoshe kusema kuna watu wana moyo sana huu mda wa kuandika episode zote hizi unapatia wapi
 
Aliye soma mpaka mwisho atupe short summary...plz .....itoshe kusema kuna watu wana moyo sana huu mda wa kuandika episode zote hizi unapatia wapi
kuiandika hii mbona chap sana ukitumia computer mkuu! [emoji4]
 
Hilo wazi Kuna mtu pia kanipa, kingine inasemekana wale makahaba michongo ile hula na polisi wakistukiwa
Nilikutanaga na mdada flani dodoma kwenye mgahawa mmoja pale chako ni chako... alikuwa na mwili mkubwa mrefu mweupe peee, mm roho ikaenda mbio...maana nawatakaga wadada wa hivi, na huwa natoa pesa on the spot bila kuchelewa nikamuagizia supu ya kuku kijanja ....tulipo maliza kula anatoka mlangoni nikampa kikaratasi cha namba akakichukua kila mtu akaenda kivyake kuondoa macho mengi ya watu....

Baadae naona sms..unataka nn? Umalaya tu asubuhi hii...hahahaha nikacheka. Nkamwambia njoo hotel moja hivi iko kwa mbele kabisa ya chako, .. akaniambia utanipa laki.? Ila sikai sana maana kuna sahemu naenda....nkamwambia chukua boda uwahi...mara paa huyu hapa...boda 7000, nkatoa 10,000, nkamwambia umrudie baadae.

Bwana wee, tumefika kunako bedi, bwana nilipagawa na ule mwili, mnyonya sana matako yule dada hakuna sehemu niliacha ku suck... akaniambia weka imetosha...hahhaha.. hata ndomu sikukumbuka.. nilipiga nikaunganisha ya pili... nikawa hoi.... nikajilaza nikaona anavyoingia bafuni na mwili wake na mitako meupe...katoka nikampa chake, mm nikaingia kuoga, yeye anajiandaa pale.... basi boda kaja..nikatoka najifuta pale...akaniaga akasepa... nikaendelea kulala...

Baadae jioni ndio naangalia nguo, hahahhaha nakuta 90,000 imeondoka,

Nikimpigia hapokei... nkamwambia kwa sms acha tamaa , utakuja kupasuliwa spika. Hahaha akaniambia ndio ukome umalaya. Hahhhaha duuu niliona ngoja tu nimuache
 
pesa zote alizokua nazo,zile million 2.5 nilizompatia ,wallet na Simu Yake havioni. Katafuta nguo za kuvaa hazioni ndipo kuingia chooni kakuta zote zimelowekwa kwenye ndoo ya maji. Kajifunika shuka na kwenda kaunta kujieleza kwa mhudumu.

Mhudumu akasema binti kweli alitoka alimuona ila hamkumbuki sura na yeye usiku ule wa manane ndo Alikuja nae na binti ndo aliekodi chumba na kukilipia.

Pale pale Zimepigwa namba zske hazipatikani, namba za binti alizoandika Kwny kitabu Cha wageni nazo hazipatikani, ndipo ikabd aombe nguo ya kujisitiri aondoke pale,ndo akapatiwa suruali ya jeans njiwa iliyochakaa iliyokua inatumika Kama kanyagio.

Mhaya Akaenda kukamua nguo zile na kuzianika, vest akaikamua Sana na kuikung'uta sana kisha kuivaa MDA ule ule na kuita bajaji impeleke hotelin kwao walikofikia sinza na kukutana na mnyakyusa Rafk yake kumueleza yaliyojiri.

Apo hapo hotelin mnyakyusa akajaribu kuipigia namba ya mhaya haipatkani,namba ya binti alielala nae namba aliyopewa hapatkani, akahitimisha wale mabinti wanajuana,lao Moja. Ikabd mnyakyusa ampe nguo zake nzuri na sendoz rafiki Yake mhaya avae ili waende wote kuripoti tukio hilo polisi.
Aisee.

Kuna mambo umeongeza chumvi hii ilikuwa 2018 kama sio kumi na Tisa ila stori umeibadilisha.
 
Nilikutanaga na mdada flani dodoma kwenye mgahawa mmoja pale chako ni chako... alikuwa na mwili mkubwa mrefu mweupe peee, mm roho ikaenda mbio...maana nawatakaga wadada wa hivi, na huwa natoa pesa on the spot bila kuchelewa nikamuagizia supu ya kuku kijanja ....tulipo maliza kula anatoka mlangoni nikampa kikaratasi cha namba akakichukua kila mtu akaenda kivyake kuondoa macho mengi ya watu....

Baadae naona sms..unataka nn? Umalaya tu asubuhi hii...hahahaha nikacheka. Nkamwambia njoo hotel moja hivi iko kwa mbele kabisa ya chako, .. akaniambia utanipa laki.? Ila sikai sana maana kuna sahemu naenda....nkamwambia chukua boda uwahi...mara paa huyu hapa...boda 7000, nkatoa 10,000, nkamwambia umrudie baadae.

Bwana wee, tumefika kunako bedi, bwana nilipagawa na ule mwili, mnyonya sana matako yule dada hakuna sehemu niliacha ku suck... akaniambia weka imetosha...hahhaha.. hata ndomu sikukumbuka.. nilipiga nikaunganisha ya pili... nikawa hoi.... nikajilaza nikaona anavyoingia bafuni na mwili wake na mitako meupe...katoka nikampa chake, mm nikaingia kuoga, yeye anajiandaa pale.... basi boda kaja..nikatoka najifuta pale...akaniaga akasepa... nikaendelea kulala...

Baadae jioni ndio naangalia nguo, hahahhaha nakuta 90,000 imeondoka,

Nikimpigia hapokei... nkamwambia kwa sms acha tamaa , utakuja kupasuliwa spika. Hahaha akaniambia ndio ukome umalaya. Hahhhaha duuu niliona ngoja tu nimuache
Chai
 
SEMA WAKUU,
Baada ya hiki kisa Naomba mnijuze,
hivi Hawa Makahaba wengine huwa Ni walozi, washirikina sana au vipi ?

Au Kuna vitu huwa wanawachanganyia kwenye vilevi mpk mtu anazima na kupoteza kumbukumbu KABISA anaibiwa?

Yaan yule binti namkumbuka KABISA,ukimuangalia mwonekano wake,ana aibu na sio mwongeaji huwez mdhania KABISA km anaweza fanya kitendo kile
Wana umoja wao na wana Askari wao wanaitwa SUNGUSUNGU, hicho ndio ninachokijua kuhusu kuiba sio mzoefu sana Ila kuhusu SUNGUSUNGU ni kwamba ukiwazingua kuwalipa Chao ndio hapo wanawaita hao SUNGUSUNGU wakufanyie fujo hapo ndio yanatokea yaleeee ya Panya Road kisago mtaa kwa mtaa
 
Back
Top Bottom