Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

kesi yake ni nyepesi mno sababu polisi hapo wana source ya intel za kutosha hasa kupitia namba za simu kwani wanatafuta watu 2 wenye kesi ya mtu mmoja na ote wameacha lead ya pakuanzia

Hivyo hata kama simu zimezimwa zote 2 lakini kupitia hizo line police lazma watrack location zao wanazokaa mda mrefu plus picha zao lazma ziwepo so ni simple tu ni swala la kwenda kuwabeba kama kondooo

pia wanaweza dakwa watu wao wa karibu mfano unaambiwa mama yako amedakwa yuko central haachiwi mpka uje,mwenyewe utajipeleka tu au awalete mpaka ulipo

muhimu watangaze dau kwa wazee ili kazi yao ifanyike haraka hata leo wanadakwa.
Sure
 
Ila hapo Moja kwa moja mnyakyusa akahitimisha kua wale mabinti wote lao ni Moja,Ni wezi na pia huenda na yeye angepigwa tukio maana walipofika alikabidhi pesa zote nilizompa mil.2 5 pale counter,akabakiwa na pesa zake elfu 80 tu na kisha walipoingia TU chumbani, akafunga mlango na kuweka funguo mfukoni, binti akataka mnyakyusa ndie akatangulie yeye kuoga. Wakabishana kdg,ila binti ndo akatangulia kuoga.

Binti Alivoingia tu kuoga, mnyakyusa akasogeza kitanda hadi mlangoni,akaitoa funguo ya mlango mfukoni na kuibana na biggy G vizur nyuma ya kioo Cha Cha kujitizama cha plastic kilichoning'inizwa kwny msumari jiran na meza walikoweka vitu vyao.

Kisha binti alipomaliza kuoga,karudi katahamaki kitanda kilivokaa, mnyakyusa akamwambia kitanda akiache hivo hivo kilivyo,kaoga kamaliza, wamefanya Yao wamelala mpk asbh binti ndo anamwamsha kua kushakucha, apewe ujira wake anahitaj kuondoka. Wamelipana vzur kamfungulia binti kaondoka zake.

Mnyakyusa kamaliza kunisimulia hayo,mhaya nae ndo anatoka kuandika maelezo,namuuliza vipi, mhaya kawa mpole Hana hata Cha kusema,nkaona Bora nisimsemeshe.
Ngoja tuache polisi Kwanza wafanye kazi yao.

SEMA WAKUU,
Baada ya hiki kisa Naomba mnijuze,
hivi Hawa Makahaba wengine huwa Ni walozi, washirikina sana au vipi ?

Au Kuna vitu huwa wanawachanganyia kwenye vilevi mpk mtu anazima na kupoteza kumbukumbu KABISA anaibiwa?

Yaan yule binti namkumbuka KABISA,ukimuangalia mwonekano wake,ana aibu na sio mwongeaji huwez mdhania KABISA km anaweza fanya kitendo kile [emoji848]

Nawasilisha wakuu[emoji1431]
Lakini we deepond, kukaa kote dar we mabinti wa sinza hujawajua kweli?
 
aisee umenikumbusha kisa changu kimoja Niko zangu baa chako Ni chako Dom nakula mma nikahama kiwanja nikahamia malaika huku na kule nikasema Si nitafute bitch ya kuishi nayo nikaipata tukaanza kula nayo mma aisee bila mwanangu bodaboda nilikuwa naisha vibaya Yule Malaya sijui alinichanganyia nini
 
Wengine wanapaka madawa ya kulevya
Kwenye matiti,

Mwanaume Mwanaume ukifanya romance unayakula Na kuyanusa umekwisha!

Atakubakishia boxer tu akikuhurumia.

Hela atachukua zote, laptop n.k.


Tena mwingine anahakikisha humfanyi chochote, anakuwahi [emoji108]
Kumbe hawa wapuuzi ni jeuri eeh? Na ndiyo maana wanauawaga hawa malaya

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
aisee umenikumbusha kisa changu kimoja Niko zangu baa chako Ni chako Dom nakula mma nikahama kiwanja nikahamia malaika huku na kule nikasema Si nitafute bitch ya kuishi nayo nikaipata tukaanza kula nayo mma aisee bila mwanangu bodaboda nilikuwa naisha vibaya Yule Malaya sijui alinichanganyia nini
Boda alikusaidiaje?
 
Back
Top Bottom