Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅 Bwanamdogo bana. Zimeletwa round 3 ,ya nne nikaona aibu nikataka kuilipia Mimi, mhaya akanambia wee bado Ni bwana mdg sn kutulipia sisi Kaka zako bill, Tuko serikalini zaidi ya miaka 20 na tunapesa kuliko wewe, unapaswa kukaa kwa kutulia.
ni maigizo alikua anafanya.....Yaan yule binti namkumbuka KABISA,ukimuangalia mwonekano wake,ana aibu na sio mwongeaji huwez mdhania KABISA km anaweza fanya kitendo kile![]()
Ngoja niandae nguvu ya kuusoma, naamini ntapata madiniUzi wa kawaida sn kiongozi,hofu yako tu[emoji4]
[emoji28][emoji28] ukute jamaa ni mtunzi wa vitabu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi jamaa huwa anatoa wapi muda wa kuandikaaa nyuzi ndefuu hiviii
Uchawi sijui.
SEMA WAKUU,
Baada ya hiki kisa Naomba mnijuze,
hivi Hawa Makahaba wengine huwa Ni walozi, washirikina sana au vipi ?
Au Kuna vitu huwa wanawachanganyia kwenye vilevi mpk mtu anazima na kupoteza kumbukumbu KABISA anaibiwa?
Mhaya hakubakishiwa hata na boksa,zote zililowekwa Kwny ndoo,alibaki uchiWengine wanapaka madawa ya kulevya
Kwenye matiti,
Mwanaume Mwanaume ukifanya romance unayakula Na kuyanusa umekwisha!
Atakubakishia boxer tu akikuhurumia.
Hela atachukua zote, laptop n.k.
Tena mwingine anahakikisha humfanyi chochote, anakuwahi [emoji108]
Sorry,Ngoja nichek kiongozi[emoji4][emoji28][emoji28][emoji28] Bwanamdogo bana
Hlf Bwanamdogo mbona pm hujibu?
Ha ha ha....uyo jamaa haishagi vituko[emoji1]Huyo alievaa nguo za kitenge ndo mhaya
Ha ha ha...ilkuaje aisee mkuu[emoji848]Nimecheka sana Kuna siku nishaleta thread kumuhusu jamaa yangu alieibiwa kila kitu akaanza upyaaaa Kwa mazingira haya haya
DeepPond soma hiiKaibiwa na Dada poa sasa anaanza upya
Moja kwa moja kwenye mada, Ni ndugu yangu mmoja ameshakamata 40 years mpaka Sasa Ana kazi Ni afisa kilimo na mifugo. Jamaa Ni hataki kusikia habari ya kuoa, Ni baada ya kupigwa tukio na alokua manzi yake miaka mitano ilopita. Alishangaa tu anaambiwa manzi yake kaolewa na yeye Hana taarifa...www.jamiiforums.com