Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Dah! Hii mbona Ni hatar Sana!
Akizdisha dozi si unapitliza unakufa[emoji848]
Mkuu nakwambia hizo dawa Ni hatari Sana, ukizidishiwa dozi lazima ukate Moto.
Hao Wanawake huwa wanafanya timing ya kutosha Sana mkuu.Yaani akikuwekea hizo dawa kwenye kinywaji anajua muda ambao zitaanza kufanya kazi mwilini mwako.Yaani Ni Kama slow poison.
Huku kwetu watu washapigwa pesa ndefu Sana kupitia hizo dawa.
 
Dah! [emoji848]
Hzi dawa wanazipata wapi?
Madukani, hospital au wapi?
Serikali zinajua uuzaji khs hizi dawa au Ni kimya kimya Kama madawa ya kulevya?
 
Kuweni makini sana na malaya wa Sinza pale!!
 
Aisee huu uzi ndo nauona leo[emoji26]
 
Hizo zinapatikana kwenye chemists ila lazima uwe na connection nzuri kuzipata.Huwa zinauzwa kisiri sana.

Kuna documentary fulani iliandaliwa na Citizen Tv kuhusu upatikanaji na matumizi ya hizo dawa aisee Ni hatari Sana.Nyie watu mnaokunywa pombe kwenye hizi bar kubwa kubwa muwege waangalifu Sana maana watu wengi washaibiwa Sana kutokana na kawekewa hizo dawa kwenye vilevi vyao.
 
Mi ningekomaa na wewe

Tulikubaliana utume pesa. Hujatuma nimeifuata.

Nimeibiwa over a lady uliyesuggest nimualike.
Kosa langu liko wapi mkuu
Wote tulikutana kwny ulevi eneo walilonialika wao, kibaya Ni kujumuika nao?
 
Pole sana kwa wageni wako mkuu. Naweza kusema kwamba wewe ndiye uliyemponza mhaya. Kama ungemtumia mzigo wake mapema asingekuja Dar kuibiwa na kahaba.

Baada ya lawama, naomba nijibu kwamba kwa jinsi mazingira ya utapeli huu yalivyotokea, inawezekana kabisa hakuna uchawi uliotumika bali ULEVI wa kupindukia ndio chanzo.

BTW hili liwe fundisho kwa wale wanaochanganya ulevi na ugegedaji.......hivi vitu ni kama mafuta na maji......havichanganyiki. Asante.
 
Aisee Hii Ni Changamoto,
Na kweli napata kubeba lawama
Ila nahs mhaya na uilimbuken ulichangia
Alijiachia Sana akasahau kua kaopoa kahaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…