Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

kumiliki demu ni ghali sana, demu pia ni malaya, anakupa uchi tu pale dau lake linapotimia kwa vizinga vya hapa na pale
akikutunuku ana reset dau to 0, na kuanza hesabu upya

kahaba ni hana gharama, kahaba ngumu kupata ngoma as unapiga na ganda
Mkuu,nilikuwa natumia laki 3 kwa mwezi yani kwa mishe zangu ilikuwa pesa nyingi kinoma yani coz nkiongeza kidogo napata bandari ya simba dumu[emoji16]
 
Hayo siyo maoenzi. Inaonekana haujawahi kuishi mapenzini wewe.
Unachofanya wewe unashiriki biashara ya kununua na kutunza miili
Mkuu nimeishi vzuri sana na hawa dada zetu tena nimewa-treat vizur mpaka wanalia sana nusu ya kujinyonga kwa maana nafuata watakacho.Hali hii imenirudisha sana nyuma mpaka pale nilposet huu mfumo[emoji120]
 
Mkuu nimeishi vzuri sana na hawa dada zetu tena nimewa-treat vizur mpaka wanalia sana nusu ya kujinyonga kwa maana nafuata watakacho.Hali hii imenirudisha sana nyuma mpaka pale nilposet huu mfumo[emoji120]
Ni mteja unayejali ndiyo maana umeishi nao vizuri, ila haukuwa kwenye mapenzi
 
Wambwaweee umri namba haukungoji tafta mpenzi mchoshane tabia kidogo akili ikue zaidi
 
Hiyo ni GG sema wengi wataamua tu kukupinga bure,tena weng walio mapenzin hawana furaha kubwa kiasi tunavo wachukulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…