Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Nakuuliza kuwa wewe unamilkiwa au kununuliwa na nani? Maana, unaongelea kummilki binadamu kama mnyama au kifaa. Heshimu utu wa mtu mwanangu.Weka vzur swali mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuuliza kuwa wewe unamilkiwa au kununuliwa na nani? Maana, unaongelea kummilki binadamu kama mnyama au kifaa. Heshimu utu wa mtu mwanangu.Weka vzur swali mkuu
Hakuna sehem nmeonesha kummiliki mwanadam mkuu labda unionesheNakuuliza kuwa wewe unamilkiwa au kununuliwa na nani? Maana, unaongelea kummilki binadamu kama mnyama au kifaa. Heshimu utu wa mtu mwanangu.
Wewe unamilkiwa au kununuliwa na nani?Habari za usiku huu wakuu,itifaki ime zingatiwa.Mimi ni kijana mchakalikaji ambae sijaoa.
Kutokana na adha za mapenzi na uchumi nimeamua kuwa nanunua makahaba pale napohisi kukidhi haja zangu za kimwili,hii imetokana na sababu kama vile:[emoji116]
1.Kumiliki demu na kuyaendesha mapenzi nimekuwa nikitumia gharama kubwa,pia usumbufu na makelele katika mapenzi vimekuwa kero kwangu.
2.Makahaba hawana mambo mengi buku 5 yako tu unakula mzigo manzi yoyote kali afu hamjuani wala kupigiana simu za kupigana mizinga.
3.Kiuchumi nimepiga hatua kubwa tangu nilipoanza kutumia njia hii,wengi mtasema kuhusu VVU na magonjwa mengine ya ngono ila hiyo ni GG maana hata uwe na mpenzi wa kudumu hayo yenyewe huwezi kuyaepuka kwani haina pasiwedi wala hujamfunga kamera.
4.Stress zimepungua mpaka nimeanza kuwa na mwili pia stamani kabisa kuwa na mpenzi kabisa.
NB:Nitaoa mke wakati ukifika maana bado najipanga staki mtoto wa mtu ateseke[emoji120]
kama kawaaa, unapunguza kitank unasepa mzeeChap afu speed kama duma[emoji91]
Neno miliki limesimama tu kama kuonesha neno 'angu'[emoji120]Kipi bora kati ya kumiliki demu na kununua makahaba?
Nililenga kumjibu mtoa uzi. Hivyo, nisamehe.
Yeah,watu watoe mawazo yao bila kuathiri ya wenzao[emoji120]kama kawaaa, unapunguza kitank unasepa mzee
Lo! Nashauri ujifunze kiswahili. Binadamu hamilikiwi. Hata wazazi hatumilki watoto wetu wala wake au waume. Tunamilki majumba, magari, mifugo na mashamba lakini siyo watu. Ni watumwa tu waliokuwa wakimilkiwa. Hata wasaidizi wa nyumbani na bustanini hatuwamilki. Mtu huru hamilkiwiNeno miliki limesimama tu kama kuonesha neno 'angu'[emoji120]
Mkeo anaweza kuchukuliwa na mtu ndani kwako ukiwepo?Lo! Nashauri ujifunze kiswahili. Binadamu hamilikiwi. Hata wazazi hatumilki watoto wetu wala wake au waume. Tunamilki majumba, magari, mifugo na mashamba lakini siyo watu. Ni watumwa tu waliokuwa wakimilkiwa. Hata wasaidizi wa nyumbani na bustanini hatuwamilki. Mtu huru hamilkiwi
Unamaanisha nini? Amchukue wapi na vipi wakati ushasema ni mke wangu? Pamoja na kuwa mke wangu, siwezi kusema nammilki mke wangu. Nasema nimeoa mke wangu, tumezaa watoto wetu nkMkeo anaweza kuchukuliwa na mtu ndani kwako ukiwepo?
Mtu hulipa mali kwa misingi gani?Unamaanisha nini? Amchukue wapi na vipi wakati ushasema ni mke wangu? Pamoja na kuwa mke wangu, siwezi kusema nammilki mke wangu. Nasema nimeoa mke wangu, tumezaa watoto wetu nk
Nini maana ya chako? Kwanini umesema mke wako?Mtu hulipa mali kwa misingi gani?
Hulipa mahari siyo mali kama heshima kwa wazazi. Huwa hanunui mke bali humlipia mahari. Hivi, wewe unajua kiswahili kweli au ni kutoka hizo nchi za jirani? Maana, Kiswahili chako kinanitia shakaMtu hulipa mali kwa misingi gani?
Ndiyo mke wangu. angu haimaanishi kumilki unakomaanisha wewe. Ukisema njia yangu ya kwenda nyumba ni etc humaanishi kuimilki bali kuitumia.Nini maana ya chako? Kwanini umesema mke wako?
Kaka nmetumia mali cyo kwamba cjui kama ni mahari ila hoja ya msingi umeielewa acha uswahili wa Kariakoo wote tumesoma hiyo hiyo western education iliyotufanya tushindwe ata kutengeneza njiti za meno (toothpics)[emoji16]Hulipa mahari siyo mali kama heshima kwa wazazi. Huwa hanunui mke bali humlipia mahari. Hivi, wewe unajua kiswahili kweli au ni kutoka hizo nchi za jirani? Maana, Kiswahili chako kinanitia shaka
Sikujua kuwa kumbe napoteza muda na wewe. SIkujua uko hivyo. Kwa heri baki na ujinga wao nami naondoka na maarifa yangu. Father of all PhDKaka nmetumia mali cyo kwamba cjui kama ni mahari ila hoja ya msingi umeielewa acha uswahili wa Kariakoo wote tumesoma hiyo hiyo western education iliyotufanya tushindwe ata kutengeneza njiti za meno (toothpics)[emoji16]
Acha tule dangaz bwana madem tumewaachia nyinyi lia lia,sisi tushatoka huko[emoji120]Kaka nmetumia mali cyo kwamba cjui kama ni mahari ila hoja ya msingi umeielewa acha uswahili wa Kariakoo wote tumesoma hiyo hiyo western education iliyotufanya tushindwe ata kutengeneza njiti za meno (toothpics)[emoji16]
[emoji16][emoji16]Unaweza kubadili nini kwa kutumia hyo PhD yako mkuu unayotumia kuwaumiza nduguzo?Sikujua kuwa kumbe napoteza muda na wewe. SIkujua uko hivyo. Kwa heri baki na ujinga wao nami naondoka na maarifa yangu. Father of all PhD
Nimekuumizaje na wapi na vipi mwanangu? Nimejitahidi kukuelimisha tena bure ukajitia hamnazo unataka nifanyeje mwanangu?[emoji16][emoji16]Unaweza kubadili nini kwa kutumia hyo PhD yako mkuu unayotumia kuwaumiza nduguzo?
Kaka ujinga tunafany ila kichwan tuko smart upstair[emoji16][emoji16][emoji16]Unaweza kubadili nini kwa kutumia hyo PhD yako mkuu unayotumia kuwaumiza nduguzo?