Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Wewe unamilkiwa au kununuliwa na nani?
 
Neno miliki limesimama tu kama kuonesha neno 'angu'[emoji120]
Lo! Nashauri ujifunze kiswahili. Binadamu hamilikiwi. Hata wazazi hatumilki watoto wetu wala wake au waume. Tunamilki majumba, magari, mifugo na mashamba lakini siyo watu. Ni watumwa tu waliokuwa wakimilkiwa. Hata wasaidizi wa nyumbani na bustanini hatuwamilki. Mtu huru hamilkiwi
 
Mkeo anaweza kuchukuliwa na mtu ndani kwako ukiwepo?
 
Hulipa mahari siyo mali kama heshima kwa wazazi. Huwa hanunui mke bali humlipia mahari. Hivi, wewe unajua kiswahili kweli au ni kutoka hizo nchi za jirani? Maana, Kiswahili chako kinanitia shaka
Kaka nmetumia mali cyo kwamba cjui kama ni mahari ila hoja ya msingi umeielewa acha uswahili wa Kariakoo wote tumesoma hiyo hiyo western education iliyotufanya tushindwe ata kutengeneza njiti za meno (toothpics)[emoji16]
 
Sikujua kuwa kumbe napoteza muda na wewe. SIkujua uko hivyo. Kwa heri baki na ujinga wao nami naondoka na maarifa yangu. Father of all PhD
 
Acha tule dangaz bwana madem tumewaachia nyinyi lia lia,sisi tushatoka huko[emoji120]
 
Sikujua kuwa kumbe napoteza muda na wewe. SIkujua uko hivyo. Kwa heri baki na ujinga wao nami naondoka na maarifa yangu. Father of all PhD
[emoji16][emoji16]Unaweza kubadili nini kwa kutumia hyo PhD yako mkuu unayotumia kuwaumiza nduguzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…